Recent content by Mwime Agule

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyemshauri Samia kufanya safari za ndege DSM kwenda Urusi? Huyo mtu kama yupo, afukuzwe Kazi!

    Mmmh,, nimenyoosha mikono,ko Urusi ndo atatuoa kwenye makucha ya mabepari,,
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyemshauri Samia kufanya safari za ndege DSM kwenda Urusi? Huyo mtu kama yupo, afukuzwe Kazi!

    Unaweza kuta Una degree tena ya Chuo kikuu,,,Muda mwingine mumuonee huruma basi mheshiwa Rais,,,
  3. M

    JamiiForums Tanzania Simba haina Golikipa: Itafungwa hata na Manzese United!

    Kufika 1/2 kwa squad ya Keltso na Doumbia ni utapeli
  4. M

    JamiiForums Tanzania Simba haina Golikipa: Itafungwa hata na Manzese United!

    Simba ni Timu yangu ila imejaa wajinga wengi ,haiwezekani Maema akasaini mkataba mamelod afu ndo arudi aje Kwa mkopo ( hii ilikuwa nafasi ya kumsajili mchezaji mwenye uwezo na umri mdogo kwenye eneo la namba 6),, na Usajili wa mtu kama Doumbia umefanywa na MTU mjinga kabisa na kama haya ni...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Simba haina Golikipa: Itafungwa hata na Manzese United!

    Simba walitakiwa kumsajili Golikipa kama Stanley Nwabali,,,Namba 6 mwenye uwezo( Mfano Salim Adams),, namba 8 Jabaar sawa,,, namba 9 mwenye uzoefu mfano Nkengi Thadeus, na Mshambuliaji wa ndani mmoja,,, aliyemsajili Keltso ni mjinga maana hakukuwa na uhitaji wake,,, Bakari Msimu ni bora kuliko...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Habib Mchage chini ya genge la Nchimbi wameanza siasa za makundi ndani ya CCM mapema sana

    Wewe mwenyewe ni mfitinishi kama huyo unayemuongelea
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kipa atatupa sare nyingi sana, kwa huyu straika ni bora Mstaafu John Bocco arudishwe tena kikosini

    Simba hawakuwa na haja ya kumsajili Keltso,, Wala maema,,, badala yake wangesajili Golikipa wakueleweka mfano ( Nwabali)Mshambuliaji mzoefu( siyo Doumbia) namba 6 wa kiwango kuliko kagoma, namba 8 Kwa Jabaar sawa na Wabaki na Loemba,, Morice. na Bakari Msimu kama back up
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tetesi za usajili Ligi Kuu msimu wa 2026/27

    Feitoto wa nn tena waache utoto,, wamchukue hata Alphonse mabula atawasaidia
  9. M

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga Day | Agosti 9, 2026 | Uwanja wa Uhuru | Yanga 1: 2 Les Aigles Du Congo. Yanga Day yaingia Doa

    Simba na Yanga ni ugonjwa kamili wa akili
  10. M

    JamiiForums Tanzania Uwanja uliokosti billion 19 ndio huu au kuna mwingine?

    Bilion 5 Kwa mjibu wa mahojiano ya mkurugenzi wa wilaya ya Bukombe na mtangazaji wa Azam tv
  11. M

    JamiiForums Tanzania Bundi atua Simba, Mchakato wa kumng'oa MO Waandaliwa

    Akili za wanachama waliomchagua Mangungu ni mbovu kama za mwenyekiti waoe
Back
Top Bottom