Recent content by mwilongo Aron

  1. mwilongo Aron

    Hivi shule kama hii ina walimu kabisa watakaoweza kuidai Serikali iwaongezee mshahara bila aibu?

    Ndugu zangu, kada ya UALIMU siyo kama kada nyingine unazoweza kuzifanyia masihara. Ikumbukwe kuwa ili watoto wafaulu vizuri mambo mengi yanahitajika ili kufanikisha lengo kuu la shule ambalo ni utoaji wa Elimu Bora.. Mambo hayo ni: Miundombinu Bora ya kufundisha na kujifunzia * Uwajibikaji wa...
  2. mwilongo Aron

    Hii ilifunga mwaka 2019 kwenu vijana wa Q Net

    Hahaaaa.. nimecheka kwa sauti Hadi jirani kaamka. Q-net bhaana!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mwilongo Aron

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    NMB naona saizi mnaongoza kwa kukimbiwa na wateja hasa wafanyakazi Wa serikalini. Tena nimesikia wengi wanakimbilia CRDB na wengine MCB. Ningewashauri mboreshe mikopo katika bank yenu kwa kupunguza riba, boresheni huduma zenu hasa katika kitengo cha masoko namaanisha taarifa zifike kwa wateja...
  4. mwilongo Aron

    Kilimanjaro Stars yadundwa 'Kiume' na Zanzibar heroes! Yapigwa 2 - 1

    Acha tudundwe tu, ndiyo tutakumbuka kudai bendera, katiba na wimbo wetu
  5. mwilongo Aron

    Wazazi walipishwa michango shule za msingi jijini Dar es Salaam

    Elimu Bure ni kwa mtoto wako. Ivi wewe mtoa mada una umri gani? Kama ni mtu mzima unaelewa maana ya bure au ulitaka kusema elimu bila malipo? Acha uchochezi, wazazi wanawajibu wa kuchangia maendeleo ya shule yao ili watoto wao wasome na wapate elimu bora katika mazingira na miundombinu...
  6. mwilongo Aron

    Elimu ya Msingi sasa Miaka 6

    Wanafunzi walioanza darasa la kwanza mwaka 2014 walishaanza kuitumia sera hiyo. Ila wale wa lanne , la tano, na la sita wa sasa wanaendelea na mfumo wa zamani
  7. mwilongo Aron

    Kuonekaana kwa kimbali baada ya kutoka.

    Asante mkuu, japo leo jioni ameanza kupata hedhi ila maumivu ya kiuno ni makali sana.
  8. mwilongo Aron

    Kuonekaana kwa kimbali baada ya kutoka.

    Tulifanya utra sound na kitu ikaonesha hakuna chochote
  9. mwilongo Aron

    Kuonekaana kwa kimbali baada ya kutoka.

    Wadau Habari za leo? Mke wangu alishika ujauzito baada ya siku kama 15 hivi akapata maumivu makali sana ya tumbo chini ni ya kitovu akatokwa na damu kidogo sana. Ikabidi nimpeleke hospitali akachunguzwe lakini Dr akasema mimba imetoka. Lakini baada ya kupewa matibabu amerejea nyumbani ni...
  10. mwilongo Aron

    Sasha yamkuta, atapeliwa na wajanja wa mjini

    Ukijua mwanamke mwizi hata huduma unatoa huku unaangalia nguo zako
  11. mwilongo Aron

    EWURA yatangaza kuongeza bei ya umeme kwa asilimia 8.5

    Mfumo wa elimu wetu umeharibu sana watu. Yani hata wenye akili na wasomi wanakubali kuwa ongezeko la gharama za umeme halitaathiri watu wa chini au makabwela. Nasikitika kujiona natekwa kifikra ili nilazimike kukubaliana na uongo sugu.
Back
Top Bottom