Recent content by mwikumwiku

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mitambo itv yakatwa nikijiandaa kumsikiliza warioba kipindi dk. 45

    wamerudiiiiiiii but nnawasiwasi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mitambo itv yakatwa nikijiandaa kumsikiliza warioba kipindi dk. 45

    haswa! Mimi nipo kibamba ITV imetoweka hewani!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tume ya katiba na bunge nani mwenye weledi?

    Mimi nadhani wewe unaweredi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dk 45 ITV J3 Warioba Kunguruma

    Mandla kama ungekuwa wewe ungeweza kukaa kimya? pengine kwa udogo wa hadhi yako ungeweza kukaa kimya, Lakibi siyo Warioba Mwanasheria mkongwe, Jaji, Waziri Mkuu Mstaafu, Makamu wa Rais nk. Huyu siyo mtu wa kutukanwa na Komba nk halafu abaki kimya.
  5. M

    JamiiForums Tanzania MAKWAIA,umeamua kuwa MNAFIKI !!

    Achana naye huyo, njaa imeshaingia kwenye ubongo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Ole Sendeka ana kiwango gani cha elimu!

    Datasa la 4 la zamani
  7. M

    JamiiForums Tanzania Watoto na familia ya Warioba wako wapi?hivi bado ni CCM?

    Network search.....
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa chachamaa bungeni, Kificho ikabidi asimame

    Hawana hoja yoyote kisheri kwa kuwa jinsi si kigezo cha katika kupata nafasi hizo. Wakipitisha hilo wanaenda kinyume na sheria
  9. M

    JamiiForums Tanzania Dhana ya thamani ya muda na mwenendo wa bunge

    Nafuatilia mwenendo wa Bunge la Katiba kwa kweli nasikitishwa na namna wanavyoenenda bila kujali muda. Kwanza wanachelewa kuanza mjadala,lakini pamoja na kuchelewa huko bado wanatumia muda mwingi kubishana kwenye hoja ambazo hazi tija kabisa! Kwa mfano wametumia zaidi ya dakika 45 kubisha juu ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Hussein Mwinyi kugombea Urais wa Tanzania 2015?

    labda ajaribu urais wa shirikisho la masumbwi..... Too mdebwedo....
  11. M

    JamiiForums Tanzania Majimbo yanayotawaliwa na CHADEMA yazidi kudhoofika kiuchumi kutokana na siasa chafu...

    Sasa povu la nini? Huoni kwamba unakiri tuhuma kwamba mna siasa chafu. Pole shabiki.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri - Jan 19, 2014

    Kumbukumbu zangu zinaonesha kwamba aliwahi kumpiga fitna rafiki yangu fulani (msajili wa hati msaidizi) pale wizarani akishikiza Katibu Mkuu amtimue kazi. Rafiki yangu alisimamishwa kazi kwa muda mrefu hatimaye akarudishwa. Kisa eti amekataa kusajili hati nje ya utaratibu. Mwisho wa ubaya aibu....
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tumshauri Zitto...

    Pole Kwa kichefuchefu, Zitto ashakupa Mambo nn...? Maana hizo ndo Dalili zake.
  14. M

    JamiiForums Tanzania HUU hapa ndiyo usanii wa WANAOITWA WASOMI WETU katika KUWATETEA WANYONGE!

    Inamaana hata wewe hufai? Then you have a problem comrade.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mtanzania ni gazeti lillo na sifa za "popo" na ni la "kinafiki" kupindukia

    Kumbe kwako uandishi bora ni ule unaoandika kile ukipendacho ww!!!! Kama ndo hivyo bora uanzishe gazeti lako la udaku kabla hujafa kwa presha. Piiiiipopppppoz pawa.....
Back
Top Bottom