wana jamvi hebu tujaribu kupima pande hizi mbili.bila kumweka pembeni aloteua tume na aloteua wajumbe wa bunge maalum.
pia tujiulize ni kitu gani kilimfanya JK kuwageuka tume.ni muendelezo wake wa kinafiki kama alivyomgeuka swahiba wake lowasa.sipati picha ya kinachoendelea.