i think
JF-Expert Member
- Apr 20, 2014
- 361
- 72
Msikose kipindi cha dk 45 itv kesho j3 saa tatu usiku ambapo jaji warioba atanguruma kuhusu mchakato wa katiba
umeleta kitu kizuri sema umekariri mambo kama walivyo akina serikali 2 warioba sio kama nape na wasira ama lukuvi.YEYE AUNGURUMI NA KUWATISHA WATANZANIA.Yeye anaenda kuwaeleza ya ukwel