Recent content by Mwikimbi

 1. M

  Dkt. Bashiru: Namshukuru Rais Samia kwa kuniteua kuwa mbunge, hii ni heshima kubwa kwangu kwani hadi sasa tuko nane

  Mbona hajamshukuru JPM kwa kumteua kuwa Balozi, katibu mkuu wa Rais, kwa mwezi mmoja tu?
 2. M

  CHADEMA kuongea na waandishi wa habari Makao Makuu ya Chama

  Wewe na nani mkuu umewachoka? vipi ile ya mubashara na Tv kuanzia asubuhi hadi jioni huchoki.
 3. M

  Damu ya Lissu yawakomboa wanasingida dhidi ya shida ya maji

  baada ya damu ya lissu kumwaga na wasiojulikana sasa ni wazi damu yake haikumwagika bure. Kama Vile Damu ya Yesu ilivyomwagwa msalabani ma kuwa sababu ya wokovu wetu, wana singida wamejikuta matatizo yao ya muda mrefu sasa yakitafutiwa ufumbuzi. Mawaziri wawili wako singida wakisimamia miradi...
 4. M

  Rais Magufuli amjulia hali Charles Kitwanga aliyelazwa Muhimbili

  kama alivyoenda kumjulia hali lissu Sent using Jamii Forums mobile app
 5. M

  Tusahau mradi wa bomba la mafuta si mara ya kwanza kwa Museveni

  kweli Sent using Jamii Forums mobile app
 6. M

  Ufisadi mpya wa Mkurugenzi Manispaa ya Ubungo

  Wanahaha kumchafua Mama hachafuki huyu ndo kiboko wa mafisadi
 7. M

  Mhe.Freeman Mbowe akiongoza kikao cha Baraza la Uongozi la Kanda ya Ziwa Victoria kilichofanyika Leo tarehe 20.10.2018 Jijini Mwanza

  saa ya ukombozi ni sasa sumaye kuna wakati muda utamtunuku amesimama na sisi hata kama watesi wetu hawapendi
 8. M

  Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana Kikao cha Dharura. Ni Kikao cha kuwachinjilia mbali Kubenea na Komu

  chadema mkituingiza kwenye chaguzi zitakazogharimu 3bn kwa kushindwa kutatua migogoro yenu ya ndani hatutawaelewa. fanyieni kazi hiyo clip na mjisahihishe bima kutuadhibu sisi walipa kodi
 9. M

  Tuorodheshe majina ya waliopotea au kupotezwa katika mazingira ya kutatanisha

  acheni jokes it is about peoples lives
 10. M

  Je, ni salama kwa kiongozi mkuu wa nchi kufanyiwa dhihaka?

  nyie ndo mnatuharibia viongozi wetu kwa kuwafanya miungu isiyokosolewa. hakuna aliyemtukana Rais bali wanamkosoa yeye na serikali yake acheni uzombi
Top Bottom