Wachana na mume wa mtu weee mtoto wa kike! Hapo hakuna cha kupenda wala nn ni kuendekeza tu. Hebu jiweke upande wa pili wa mke wa jamaa ukisikia habari hizo utafurahi? Ni tamaa zako tu zinakusumbua. Wee subiri jamaa yako arudi muoane,nawe ufaidi vyako.
kwa maoni yangu,wee bado kinda sana hata kama mapenzi hayana umri. achana naye huyo,tafuta size yako. kumbuka yeye atazeeka mapema wakati wee bado unadai. na pia wanawake hupoteza ladha mapema kuliko mwanaume, mwanaume hadi 75 anaweza kuoa wakati demu wako akifikisha miaka 55 kwisha habari. wee...
kaka, hoja rahisi sana hii. asikudanganye mtu uamuzi unao mwenyewe. kama ulikua ni utani mwambie wazi kwamba nilikutania tu. kumbuka all women's 'chemistry' is the same. tunazuzuka na maumbo ya nje tu. Heshimu ndoa yako ndg yangu.
kwa kua umegundua kwamba jamaa ana mke, na alikudanganya siku zote hizo kwamba hajaoa basi ukiustaarabu kabisa mkalishe chini na kuagana nae kwa heshima zote. pia mrudishie pete yake. usijali utapata mwanamume wa ukweli..utasahau masahibu yote hayo!
hata kama wakitangaza kupitia bbc, voa, aljazeera; sie wananchi tunataka maji. maji ni uhai...hayana itikadi! viongozi wa ccm wawe wakweli kukubali changamoto ya kupatikana kwa maji safi na salama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.