Pamoja na ushabiki wote wa kisiasa na kama unazijua siasa hasa za Tanzania, na dunia kote, huwezi kumtukana mtu kiasi hicho hasa mawaziri wakuu waliopita na binadamu yeyote katika medani za kisiasa vingnevyo unatumika na pia huna akili timamu, Tanzania ni nchi ya mfumo wa vyama vingi na hakuna...