Recent content by mwigo

  1. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA TAFUTENI MCHAWI MWINGINE LAKINI SIO CUF. think twice.

    jumla madiwani wapo 14 ktik wilaya ya ILEMELA , na waliokuwa wanahaki ya kisheria ya kupiga kura ni 12, ambao ccm ni 5, cuf 1, cdm 6, na wawili walivuliwa uanachama ktk jumla ya wale 14. na inavotakiwa kisheria robo tatu ya madiwani yanamuwezesha diwani kushinda umayor au unaibu mayor...
  2. M

    JamiiForums Tanzania CUF Arusha ngoma nzito, operation V4M yakwama

    hahahahaha hamtoamini tutakavoibomo CDM, hapa kazi tu kama mlizoez fujo subiri tuwaoneshe ustaarabu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Chadema imedandia behewa la cuf!

    hahahahahahhahha mnatia aibu CDM kwani hamjui kuwa tuliwabeba sana?? kwani hamjui kuwa mliiga hadi rangi za bendera??/ mmesahau kuwa muafaka uliwauma sana kiasi kutuita CCM B??? halafu kweli wewe kilaza umesahau kuwa KIGOMA mlianza nyie NDOA??? then nikukumbushe kitu kaka sera ya serikali ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Chadema imedandia behewa la cuf!

    mmekamatika CDU a.k.a chadomo lol hamna hata pa kujitetea
  5. M

    JamiiForums Tanzania Chadema imedandia behewa la cuf!

    duh hawa jamaa wanapend cheap politics sana
  6. M

    JamiiForums Tanzania Chadema imedandia behewa la cuf!

    chadema imedandia behewa la cuf!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Haya haya kumekucha uwanja wa nyumbani, uwanja wa CUF Jangwani

    Haya haya kumekucha uwanja wa nyumbani, asiyebeba mwana aeleke jiwe siku ya tarehe 9/9/2012 katika viwanja vya Jangwani. Prof. LIPUMBA ataongoza mamilioni ya watanzania akielezea sera ya kugawana rasilimali zetu huku tukichangia pato la taifa. Karibuni mje msikilize namna...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Sensa 2012: Yanayojiri

    Jana wameonesha watu wa KWADELO wanalalamika maji wanayotumia wana changia na wanyama tena kuyapata inakubidi uamke saa 8 ya usiku ndo upate sasa sa nikiwa najiuliza hii ni miaka 50 toka nchi hii ipate uhuru na watu wa kwadelo mara zote wamekuwa wakihesabiwa je hilo la kukosekana kwa maji...
  9. M

    JamiiForums Tanzania SENSA: Nini faida yake?

    SENSA inafaida gani kwa watu wa wilaya ya KONDOA? miaka 50 sasa hakuna High school, hakuna Hospitali, hakuna maji, hakuna Umeme,hakuna barabara n.k. Binafsi yangu sioni faida ya sensa, kama hata maji bado watu wanachota mtoni, highschool mpaka twende moshi, songea, mwanza nk. KAMA BUDGET YA...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Miezi mi3 kwa ATCL kujiendesha ni uendawazimu wa Mwakyembe

    MWAKYEMBE BADO TATIZO NI KUBWA WIZARA YAKO KUWA MAKINI NA KATIBU MKUU WAKO. Kwanza naendelea kusisitiza kuwa MR CHIZI hauhisiki na kuiingizia hasara billion 69 serikali ambazo ni pesa za kitanzania, kwa kuingia mkataba na ndege ya AB320 ijulikanayo kama AIRBUS ambayo ndege hii aliingia...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe bado tatizo ni kubwa wizara yako kuwa makini na katibu mkuu wako.

    Kwanza naendelea kusisitiza kuwa MR CHIZI hauhisiki na kuiingizia hasara billion 69 serikali ambazo ni pesa za kitanzania, kwa kuingia mkataba na ndege ya AB320 ijulikanayo kama AIRBUS ambayo ndege hii aliingia mkataba Mr MATAKA mwaka 2008. sasa Mr chizi hapo anahusika vipi??? Wakati Mr chizi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Uvamizi wa CUF Arusha waikatisha ziara ya CHADEMA kusini

    ninyi mlijenga makanisa kusini??? unajua siku zote hamuwezi kujenga nchi kwa chuki zenu wengi wenu mnajipambanua vile hamjui siasa na badala yake mnaonesha ***** wa akili zenu. jifunzeni siasa kwanza maana mnaonekana mmeanza jana tu. CUF DIRA YA MABADILIKO subirini kwenye viti vyenu hapo mlipo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CUF, viongozi wa CCM na wanachama zaidi ya 890 wahamia CHADEMA

    ritz siwezi kudanganya ukweli walikuwa na ziara ya siku 15 mpaka 17 lakini wamehitimisha na 7 tu kwa kuwa dr akazua jambo kwa MTATIRO eti ndio amesababisha hadi wananchi kupigwa mabomu huko tandahimba ndipo walipoanza kumpopoa mawe, na sio hapo tu tangu walipofika kila siku zomea tu, mpaka...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Uvamizi wa CUF Arusha waikatisha ziara ya CHADEMA kusini

    woote ushabiki utawaponza waulizeni viongozi wenu wapo wapi??? wamesharejea na kwa kuwa wamepata wakati mgumu na pia kama nilivo waeleza kuhusu arusha TIME WILL TELL subirini hapo hapo mkiamini kuwa CUF will never win ARUSHA. keep on waiting.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Uvamizi wa CUF Arusha waikatisha ziara ya CHADEMA kusini

    wanachama tumepata na hilo sio la kuficha, hiyo picha sio yangu na cdm wameipost subirini nitawaletea tuuuuuuu, soon ndio utaona drastic yake.
Back
Top Bottom