Mwenyekiti wa CUF, viongozi wa CCM na wanachama zaidi ya 890 wahamia CHADEMA

habari za uzushi hizo kwani teyari wameondoka kusini kutokana na wakati mgumu walioupata na mpaka DR SLAA KUPOPOLEWA MAWE na wakazi wa hapo baada ya kuzusha jambo kuhusu MTATIRO mpaka akaokolewa na polisi na wenyeji wake. lol mnajidanganya maana nyie mnategemea media tu lakini ukweli ni kwamba wamerudi bila bila maana walitaka kukaa siku 17 lakini wamekaa siku saba tu.
Maumivu ya kichwa hayo!
Unalipwa bei ngapi ewe mwanamagamba kuongea uwongo mchana kweupe?
 
Maumivu ya kichwa hayo!
Unalipwa bei ngapi ewe mwanamagamba kuongea uwongo mchana kweupe?

TATIZO MMEZOEA KUDANGANYWA na pia huwa hamuamini mtu akiwa against nyinyi. ukweli ndio huo. VUA GAMBA USIVAE GWANDA VAA DAMIRA YA HAKI, CUF vision for change. dira ya mabadiliko. hapa hakuna gamba ni haki tupu. HAKIIIIIIIIIII
 
HAKI tunjua kuwa mnaipata toka kwa mume wenu CCM!...TANGU lini mke akakosa haki kwa Bwana?....
 
Jibu ni hilo la tatu. pengine ndo uko sahiohi kuwaza hivyo. Sisi hatujali ametoka magamba, hakuwa na chama au vipi, kwetu jambo la maana ni kuongeza idadi ya wanachama hai kwa kaili inavyowezwkana. Mengine ni ziada tu
Na mkichukua nchi mtakuwa mkijibu namna hii maswali ya wananchi, sio?
 
Moyo wangu unafuraha sana! Nataman ningejua idadi imepatikana vip! RIP CCM R.I.P CUF
 
habari za uzushi hizo kwani teyari wameondoka kusini kutokana na wakati mgumu walioupata na mpaka DR SLAA KUPOPOLEWA MAWE na wakazi wa hapo baada ya kuzusha jambo kuhusu MTATIRO mpaka akaokolewa na polisi na wenyeji wake. lol mnajidanganya maana nyie mnategemea media tu lakini ukweli ni kwamba wamerudi bila bila maana walitaka kukaa siku 17 lakini wamekaa siku saba tu.

Mkuu mwigo ya kweli hayo?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mwigo ya kweli hayo?

ritz siwezi kudanganya ukweli walikuwa na ziara ya siku 15 mpaka 17 lakini wamehitimisha na 7 tu kwa kuwa dr akazua jambo kwa MTATIRO eti ndio amesababisha hadi wananchi kupigwa mabomu huko tandahimba ndipo walipoanza kumpopoa mawe, na sio hapo tu tangu walipofika kila siku zomea tu, mpaka wameamua kurudi dar, na kwenda ARUSHA,
 
Wakuu zangu PakaJimmy Molemo Kimbunga Mungi Crashwise Rejao zomba Rutashubanyuma.

Ebu jitokezeni tujadili suala ili kwa undani zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Habari hizi zinaleta raha moyoni na afya mifupani. Jinsi siku zinavyosogea ndivyo Tanganyika halisi inavyozidi kujionyesha kwa ukaribu. Aksanteni Lema & Co kwa kazi nzito. Wanaomkebehi Lema wa watafakari upya kama wanatumia KONYAGI au akili kufikiria.
Cdm songa mbele.

sio konyagi masaburi!!
 
ritz siwezi kudanganya ukweli walikuwa na ziara ya siku 15 mpaka 17 lakini wamehitimisha na 7 tu kwa kuwa dr akazua jambo kwa MTATIRO eti ndio amesababisha hadi wananchi kupigwa mabomu huko tandahimba ndipo walipoanza kumpopoa mawe, na sio hapo tu tangu walipofika kila siku zomea tu, mpaka wameamua kurudi dar, na kwenda ARUSHA,
267598563.jpg

749766395.jpg

Mkuu hapa ni wapi kama una akili utajibu....

kwa wale wanataka kujionea tembelea uzi huu...

https://www.jamiiforums.com/jamii-p...heni-okoa-kusini-ya-magwanda.html#post4011147
 
Jamani angalizo tujifunze matumizi ya neno na maana ya Breaking News ili neno lisipotezee maana yake halisi...Mods badilisheni hilo neno Breaking News.

Wivu unao na roho inakuuma. Pole Ritz.
 
Watanzania waliokata tamaa wanahitaji Injili (Mahubiri) ya kuwapa matumaini ili waangalie kesho yao.
Hivyo kinachofanywa na chadema sasa hivi sio kitu kidogo ikizingatiwa mambo yanavyowaendea vyema bungeni kupitia hoja na miswada mbalimbali na jinsi jamii inavyoitikia, ni lazima wanachama zaidi iwe zawadi kwao!

Kama wanavyosema waswahili kwamba "Bidii ni mtego wa noti" hata hamasa ni muhimu kwa vyama kupata wanachama na waumini wapya!
 
Makamanda wanaendelea kukamua na mkoa wa lindi, katika hari ya kusikitisha kata ya kiwawa hakuna barabara watu ni masikini mpaka inatisha.
 
La kupopolewa mawe Slaa.

Takataka ni kitu chochote kile kilichopo mahali ambapo hakitakiwi kuwepo...mkuu wewe hutakiwi kuwepo jamvini maana ni muongo mno!

Mie sijui dini yako lkn kwa uongo wako nadhani umeurithi toka kwenye dini yako ya uongo! Hayo unayoongea ni uongo bwana!
 
la kupopolewa mawe slaa.

NINACHOKIJUA KUHUSU ZIARA YA CHADEMA, TANDAHIMBA

[color=8000800]-Dr. SLAA hakupigwa mawe yeye wala kiongozi yeyote wa chadema
-Ndani ya tandahimba chadema ilipokelewa vizuri na ikaagwa vizuri pia hakukuwa na dosari yoyote ile
-Tangia cdm wamepita hakuna athari yoyote ya kisiasa kwa vyama vingine kama ccm na cuf ambavyo ndio vyama vikuu ktk maeneo haya!
n.b: "bora ya majadiliano ni kupingana kwa hoja na ukweli"[/COLOR]
 
Back
Top Bottom