Mtoa mada hii analake jambo..jerry silaa kwanza hanywi pombe,huu ni unafiki kabisaa,siasa za maji taka,by the way mtake msitake Rais ajae nchi ni Pinda. . Na maneno haya ntawakumbusha muda ukifika....wait and see...the only clean and smart among all of them..!!
Habari za uhakika kabisa ni kwamba katika uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Chalinze chama cha mapinduzi kitamsimamisha Kada wake rizione Kikwete Kama mgombea wake iLi ipate ushindi wa kimbunga, atakuwa amefuata nyayo za baba yake ambaye alikuwa mbunge wa jimbo Hilo kabla ya kuingia ikulu.. Kila...
Mmmmmh wewe Mtoa mada unaonekana ni mtu wa ndani sana maana yote haya uliyosema sisi wengine tumeyasikiaa...kazi ipooooo..mzee ajipime sasa kutokana na uhalisia sisi watanzania sio wajinga kiasi kwamba tukachagua mgonjwa na mtu ambae afya yake ni Kama
Ulivyoelezea...na walaji tunawajua wote...
Bashe ni mmoja tuu anejulikana kwenye ulimwengu wa siasa za bongo... Hussein bashe acheni kutumia majina ya watu vibaya ilikupata comment nyingi fb... Such a stupid thread
Kuna mambo mengine inawezekana watanzania waliowengi hawayajui na badala yake wanashabikia tuu...chama cha chadema a.k.a (chaga development manfesto) ndicho chama hovyo na cha kijinga kuliko vyama vyote east Africa kwa mujibu wa gazeti la Jana la daily nation la Kenya moja Kati ya mambo hovyo...
Safi sana zitto najua uko kwenye maandalizi ya kuachana na chama hicho cha mambululaaa.. Kuanzia mwenyekiti wao mbowe a.k.a div 5 mburula hadi wabunge wao Kama lema a.k.a wanabonyeza kizenji..achilia mbali wanachama wao na mashabiki ambao wengi wao ni wahuni tuu na walioshindwa maisha na...
Hana lolote anatafuta umaarufu tuu na kutaka kujifananisha na Amina chifupa ni sawa na mlima Kilimanjaro kuufananisha na kichuguu, kwanza kayumbaa,halafu anakale kamchezo ka kina Cameroon halima mdee kajiwekea ndani kamuachanisha hadi na mumewe anajifaidia tuu.. Yote twayajuaaaa!!
Mbunge wa CHADEMA jimbo la Maswa Mh John SHIBUDA akihojiwa na Sauti ya America jana jioni alisema ,Tamaa ya uongozi na ubinafsi wa kundi la watu wachache ambao wanafanya chama hicho Kama Mali Yao na si ya wanachama na kutaka kuendelea kuwa viongozi wao tuu siku zote inaelekea kugawa wanachama...
Habari kutoka Dodoma sasa hivi zinasema kuna makundi mbalimbali ya wajumbe wa baraza kuu toka Jana usiku na asubuhi ya Leo wamekua wakijadili namna ya kumtoa mwenyekiti wa umoja wa vijana wa ccm Bwana sadifa, japo kuna habari pia wajumbe wa umoja huo toka Zanzibar hawakubaliani na mpango huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.