Recent content by Mwiddy

  1. Mwiddy

    JamiiForums Tanzania Clinton aacha kilio bungeni Dodoma, Naibu Spika na wabunge wanawake waguswa zaidi kushindwa kwake

    Waafrica nan AMETULOGA?? niliposoma hii habari nikakumbuka moja ya sera za Trump,ni kuwa Africa should recolonise again(waafrica inabidi watawaliwe maana tumeshindwa kujitawala) Dk.TulIa na wabunge wenzake wanawake wanaonyesha kusikitika na Hilary kushindwa!! Uchaguzi wa 2015 moja ya wagombea...
  2. Mwiddy

    JamiiForums Tanzania Loan allocation for continous students OUT

    Serikali wanatupiga changa la macho,apo wanatafuta pesa za kuongeza kwa first year ambapo batch ya pili inatoka next week#Hii ndio Tanzania ya viwanda
  3. Mwiddy

    JamiiForums Tanzania Jina langu kwenye orodha ya Boom halipo kwakuwa nina Supplimentary

    Hali kama hiyo imetokea chuoni kwetu mimi kama mbunge nikatoa maoni haya Hi,natumaini wote ni wazima wa afya Kutokana na baadhi ya majina ya wanafunzi kutoonekana kwenye sheets za mikopo zilizobandikwa 7ways. sababu zilitolewa ni kama kuwa na sup,carry,incomplete,special paper nk. *Nimepitia...
  4. Mwiddy

    JamiiForums Tanzania Jamani first year mimi nakufa njaa chuoni

    Pole sana#Next time msifanye ujinga kwenye uchaguzi Pia nakushauri kama hali ni ngumu postpone(ahirisha) mwaka,kisha urudi kijijini ukalime ili upate fedha ya kujikimu Elimu ya mserereko ina changamoto zake,kama unatoka familia duni kuwezeshwa na serikali ni muhimu,ila kama umekosa...
  5. Mwiddy

    JamiiForums Tanzania kcmc: Freshers HESLB Loan Allocation Batch 2

    H Swali lako linanifanya niendelee kuamini kuwa To lead Tanzanian is very simple task,And that is what Magu is doing right now. Kwanini nasema hivi,watanzania tunapenda kuishi kwa matukio,yaani tukio likitokea tunashabikia alafu waziri au kiongozi akitoa tamko tunashabikia bila kufanya...
  6. Mwiddy

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu: Mikopo tumetoa kwa vigezo. Wanafunzi wengine hutumia mikopo kununulia Tv na pombe

    Video inanifanya niwe na maswali kadhaa Mimi bado nawauliza watanzania... mosi:Kwanini mlikataa ELIMU YA BURE MPAKA CHUO KIKUU?? kama mlikubali elimu ya bure mpaka form four kwann mpige kelele sasa hivi?? Kipindi cha kulalamika na kutoa mawazo au maoni ni kipind cha kampeni tuu Serikal iliyoko...
  7. Mwiddy

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza Uhakiki wa Wanafunzi wote Walioko Vyuo Vikuu kwa ngazi ya Shahada

    Kwanza naipongeza serikali kwa jitihada zake za kuendelea na uhakiki,ili kusudi kama kuna mapungufu yaweze kurekebishwa mapema iwezekanavyo kwa faida ya watanzania wote. kwa ufafanuzi zaidi wa tangazo hili pitia hapa...
  8. Mwiddy

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kulekea vyuo vikuu 2016/17

    Hakusema hivo tuu Alisema ELIMU BURE MPAKA CHUO KIKUU,lkn wabongo wakawa wakaidi wakachagua viwanda.....haya ndo matokeo
  9. Mwiddy

    JamiiForums Tanzania Serikali yangu umekatisha ndoto zangu za masomo

    Wakati wa kampeni,mliambiwa ELIMU BURE MPAKA CHUO KIKUU,lkn mlikata mkachaguaa viwanda......but usikate tamaa kuna waliofanikiwa bila kuwa na elimu ya chuo kikuu
  10. Mwiddy

    JamiiForums Tanzania Mchanganuo wa kujenga nyumba ya vyumba vitatu na sebule

    Unaamanisha tofali za msingi(foundation) tuu au tafali za nyumba nzima??Kama unamaanisha tafali za nyumba nzima nakushauri rudi darasani
  11. Mwiddy

    JamiiForums Tanzania Awamu ya pili: Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa vyuo mbalimbali nchini 2016/17

    Hii ni course yenye ushindani mkubwa sana katika vyuo vya Tanzania,bachelor ya BE inatolewa ARDHI pekee Tanzania nzima,UDSM wameanza mwaka jana kutoa bachelor ya BE but hata ulipopata pia ukiweka nia ni sehemu sahihi pia
  12. Mwiddy

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa Moshi Kilimanjaro

    Mili 2 ni ambacho kimepimwa? na ndo size hyo ya 17.5*35m?
  13. Mwiddy

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa Moshi Kilimanjaro

    Bei inaanzia shingapi?
  14. Mwiddy

    JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu bora hapa Tanzania

    CHUO KIKUU ARDHI
Back
Top Bottom