PRINCEHOPE
Member
- Aug 28, 2013
- 92
- 67
Ni bora katika nn, kumbuka huja specify, chuo cha Ualimu huwezi ukalinganisha na cha usimamizi wa Fedha, uhasibu, afya. Jitahidi kuondoe kero za kejeli katika Uzi unaoamua kuuleta ndugu. Watu wengine unawachokoza tu ili wakukejeli