Napenda kupongeza kwa taasisi hii kupata "Boss" mpya.
Natambua kabisa maafisa mbalimbali wa Serikali ni members/wanapita huku JF kama kisima cha habari za uhakika.
Leo napenda kuzungumuzia Kampuni ya Uchimbaji Madini iliyoko Mwanza Capital Drilling (T) LTD na ku-operate katika migodi ya Geita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.