Recent content by MWIBA WA KATANI

  1. MWIBA WA KATANI

    ''shetani kamshinda Mungu Tz"

    Mungu hashindwi ila sisi ndo tumemkataa mungu na hatimae tukashindwa tutakapobaini kwamba mungu anaumuhimu kwetu na kumrudia tutashinda
  2. MWIBA WA KATANI

    MAMBO 18 yaliyoachwa na kutozingatiwa na RASIMU YA KATIBA..by Prof.Lipumba

    leo nimesikia rais wa Kongo L Kabila kamteua PADRI Aporinel Maruru kuwa mwenyekiti wa tume ya Uchaguzi.Naungana na Prof mwenyekiti wa tume si lazima awe mwanasheria bali mwenye utashi na weledi ila wasaidizi wake muhimu kuwa wanasheria
  3. MWIBA WA KATANI

    MAMBO 18 yaliyoachwa na kutozingatiwa na RASIMU YA KATIBA..by Prof.Lipumba

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: 09/06/2013 MAONI YA AWALI YA MWENYEKITI WA CUF KUHUSU RASIMU YA KATIBA MPYA UTANGULIZI; Kwanza naipongeza Tume ya Jaji Warioba kwa kazi kubwa waliofanya ya kuratibu maoni na kuja na mapendekezo ya katiba mpya ambayo hayakushinikizwa na matakwa ya Chama tawala...
  4. MWIBA WA KATANI

    CUF wawavaa wachina: Wataka wasilete wafanyakazi wachina, watanzania wanaweza

    Wawekezaji toka China watumie wafanyakazi wa Tanzania na siyo kuleta wafanyakazi toka China kwa shughuli zinazowezwa kufanywa na Watanzania. Serikali iwe makini na kuhakikisha hatuleti Wawekezaji matapeli kama muwekezaji wa Ujenzi wa Terminal ya Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam. Ulinzi wa...
  5. MWIBA WA KATANI

    Msaada wa waChina ulivyobadili maamuzi ya Serikali kuhusu gesi ya Mtwara.

    serikali imeanza kupotosha ukweli na inasema watu wa Mtwara wanleta ubinafsi lakini point ni kwamba kwani vituo vikijengwa Mtwara ili kuendeleza kusini na mikoa mingine tukafirishiwa tu kama umeme tatizo liko wapi?
  6. MWIBA WA KATANI

    Msaada wa waChina ulivyobadili maamuzi ya Serikali kuhusu gesi ya Mtwara.

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI 30/12/2012 CUF: MADAI YA WANANCHI WA MTWARA YANA MISINGI MIZURI YA KIUCHUMI YASIPUUZWE BALI YAFANYIWE KAZI. Tarehe 27 Desemba maelfu ya wananchi wa Mtwara waliandamana kudai gesi ya Mnazi Bay itumiwe kuendeleza viwanda katika mkoa wa Mtwara kabla...
  7. MWIBA WA KATANI

    Prof.LIPUMBA yuko IVORY COAST kwa mwaliko wa raisi wa Nchi hiyo.

    prof.lipumba yupo nchini ivory cost toka tarehe 16/10 kwa mwaliko wa rais wa nchi hiyo. Lengo kuu la kuitwa kwake ni kupanga mkakati wa kiuchumi utakaoisaidia ivory cost kukua kiuchumi.
  8. MWIBA WA KATANI

    Maalim SEIF kuunguruma mkutanoni KESHO(Jumapili) DAR ES SALAAM

    MAALIM SEIF Kuunguruma KESHO Jumapili (21/10/2012)Jijin DAR ES SALAAM(Mkutano wa Hadhara utakuwa Buguruni Shell) Kuanzia saa 8 mchana.
  9. MWIBA WA KATANI

    Maamuzi ya baraza kuu CUF yatangazwa:Jumuiya ya Vijana CUF(JUVICUF)yafumuliwa yaundwa upya.

    leo kulikuwa na press Conference CUF na haya ndiyo yaliyojiri MAAZIMIO YA KIKAO CHA BARAZA KUU LA UONGOZI LA TAIFA KILICHOFANYIKA SHABAN HAMIS MLOO MJINI DAR ES SALAAM TAREHE 14-15 Julai, 2012. Baraza Kuu la Uongozi Taifa la The Civic United Front (CUF- Chama Cha Wananchi) limekutana katika...
  10. MWIBA WA KATANI

    CHADEMA, CUF kuungana kuikabili CCM - NI TUKIO KUBWA LA KIHISTORIA

    Hizi habari zimepikwa na watu wa chadema kwa kutumia gazeti lao la propaganda la tanzania daima.nilisikiza kwa makini hotuba ya prof.lipumba hakuna mahali aliposema cuf itaungana na chadema kuunda maandamano ya pamoja.huu ni uzushi.alichosema ni kwamba cuf itatakutana kujadili kuandaa maandamano...
  11. MWIBA WA KATANI

    "Polisi ndio walionipiga na kuchoma moto gari langu walikuwa na mapanga";ushahidili wa tandahimba

    Prof.Lipumba ameongea na waandish wa habari leo na kubainisaha haya"Kwa ushahidi wa wananchi, polisi walivamia duka la kijana mmoja anayeuza mafuta ya taa, dizeli na petrol, walianza kuchukua mafuta waziwazi na kumwagia maduka kadhaa kwa kuchagua. Walimwagia duka hili na kuacha lile ilimradi...
  12. MWIBA WA KATANI

    Picha, Sekeseke la Tandahimba

    Mtatiro kumbuka ccm hawataki kuchekewa kwa staili hii ndo watajua kulipa hizo pesa kazeni buti mpaka watoe hizo pesa na niwajuavya watakuwa wameshazila wanahaha pakuzitoa.
  13. MWIBA WA KATANI

    Picha, Sekeseke la Tandahimba

    Ccm bila kuwafanya hivi kazi haiendi
Back
Top Bottom