Recent content by mwezeshaji

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mkuu tpaul,inawezekana kulikuwa na shida hiyo jmos.mimi nilbet jmos online ya premierbetting na zote zimetoa but sasa hawajaingia kwenye account yang.hakuna njia ya kufanya nao mawasiliano zaidi ya kutumia email eg through simu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu ulifanikiwa tatizo.na mimi niliweka jumamos na zote zilitoa but mpaka sasahv hawajaweka hela kwenye account yangu.niliwatumia email hakuna feedback yoyote
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Prof. Kitila A. Mkumbo kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji

    atajitetea kuwa mnasema hashauriki kumbe mda mwingine anashaurika a
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    um emeona ehee.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mkuu nafikir utakuwa na mkwanja sana kama utabir wenu huko hvyo.........................hahahahahaha!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Maghorofa: Kwanini Neti zinazotumika zinakuwa ni za kijani?

    safi mkuu,majibu ya kitaalam kabisa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    wako sahihi mkuu,si walitoka 1-1 first half ishakuwa over hiyo ,si
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    kasimpasa huesca sassuolo platanians nacional elche waasland beveren boavista swansea city ALL TO WIN pl
  9. M

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya: Sasa Paul Makonda na Kamanda Sirro tunawapima kwa kumgusa Mtoto wa Rais na Daudi Kanyau

    hivi jaman kwa akili ya kawaida isiyoitaji Phd,unamwambia mtu kesho ajisalimishe polisi then baada ya kujisalimisha unaenda kumpekua nyumban kwake ata kama ana kithibitisho cha kosa lenyewe si anakiondoa mapema.huu ni zaidi ya usanii tunaofanyiwa watanzania.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu usikate tamaa,hiyo imenikumbusha kuna siku atlectico madrid nilimpa double chance akafungwa na las palmas tena ndani ya dk mbili magoli mawili daa akaninyim 400k
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kufikiria kwamba Uturuki watatoa mkopo nafuu wa Reli kuliko China ni kujidanganya

    Nimecheka sana aiseeeeeee!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Na hii nayo ni chuma ulete,wizi wa kisayansi au...!!!?

    duuu!hali nguvu ya maisha ,binadamu anabuni kila njia ili kutatua matatizo yake
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tunisia attack on Sousse beach 'kills 39'

    So sad! ila huyo jamaa wa wales aliyemwekea mchumba ngao ili kumlinda alifanya kitendo na kishujaa na mapenzi ya kweli,ingekuwa kwetu huku bara la giza kwa jinsi tulivyojaa ubinafsi nadhani ingekuwa kinyume chake jamaa angepoma na demu akafa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa Viatu aina ya Buti (Made in Magereza, Tanzania)

    Mbona wanatengeza hata viatu vya kawaida,na jamaa wako smart sana viatu vyao ni pure ngozi unaweza kukitumia mpaka ukakizira
Back
Top Bottom