David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 3,098
- 6,693
Sasa imetangazwa rasmi kuwa gaidi aliuwa watalii 30 raia wa Uingereza katika shambulio lililofanyika hoteli ya ufukweni. Jumla waluuawa watu 38Waziri Mkuu Cameroon amesikitishwa sana na vifo hivi. Source: BBC
kwani hao watalii hawajaona sehemu nyingine ya kutalii mpaka waende uko uarabuni?
waarabu sio watu kabisa na hakika swaumu iliwachanganya wakaamua kuwateketeza