Recent content by mweusi asili

  1. mweusi asili

    JamiiForums Tanzania Bila mikakati ya kukuza mapato ya serikali ahadi zote ni uongo

    Tatizo la Tanzania sio mapato ila matumizi yasiyo na tija ie mwenge, misafara, ununuzi wa magari pre order Kila mwaka n.k
  2. mweusi asili

    JamiiForums Tanzania Je, kwa mtazamo wangu huu, ni sawa niitwe mama wa ovyo?

    Wanaweza kuwa wapenzi bila kulana mpaka pale watakapokua umri sahihi muhimu kuwapatia mwongozo sahihi
  3. mweusi asili

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sasa kipenga cha uchaguzi kimepulizwa twende na 'No Reform No Election' au tushiriki tukapambane ndani. Tujadili

    CCM wana vituko sana kwenye mabadiliko ya katiba ya nchi muda hautoshi ila wameweza kubadili katiba Yao kupitia vibanda umiza
  4. mweusi asili

    JamiiForums Tanzania TZS6.6 Trilioni zimekamilisha ujenzi wa Bwawa la Mwl Nyerere na kuifanya Tanzania kuwa na uzalishaji wa MW4,032 sawa na ziada ya MW740

    Je gharama za unit ya umeme imeshuka? Au ndio mbilinge za uchafuzi
  5. mweusi asili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimuamini nikaenda kwake akataka kunibaka

    Urafiki wa swala na chui ni wa mashaka
  6. mweusi asili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukitaka kuoa zingatia yafuatayo

    We jichanganye tu kwenye mahusiano kila mwanamke ana wanaume 4 1. Mwanaume aliyemtoa usichana wake 2. Mwanaume anayemtamani 3.mwanaume/Ex ambaye hawaachani 4. Kuna wewe uliyenaye sasa
  7. mweusi asili

    JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Rais Samia anastahili pongezi kwa aliyoyafanya

    Aji Ajira kwa vijana? Mfumuko wa bei? Dhamani ya shilingi? Nakadharika.
  8. mweusi asili

    JamiiForums Tanzania GE2025 Esther Matiko ataja sababu za kujiunga CCM

    Kwamba Toka uhuru tarime inaongozwa na chama gani?
  9. mweusi asili

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Hata Ulaya ilijengwa kwa Mikopo toka Marekani Marshall Plan si dhambi kukopa ili kujenga miradi ya maendeleo kama SGR au JNHP

    Tatizo sio kukopa ishu apa inakopwa pesa nyingi lakini pesa halisi inayoingia kwenye iyo miradi ni kiduchu kwa sababu ya ubadhirifu na ufisadi wa serikali ya ccm
  10. mweusi asili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Alinikimbia na kuniibia vitu ndani, sasa anataka turudianae anadai anaumwa

    Malaya kashapigwa tukio apo anataka kujirudisha kwa boya wake. Mzee ukiona mwanamke anafosi kuhama sehemu mnayokaa jua kazini kwako kuna kazi yaani kuna mtu/mchepulo anamkwepa ili wewe usijue na inawezekana mama yako anajua huyo mwanamke wako ni malaya tu sema anakwambia kiutuuzima ila wewe una...
  11. mweusi asili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu baada ya kupata kazi na mshahara mnono ameanza kunidharau

    Mkeo kapata jamaa anaichapa vizuri apo ishu sio kipato. Akili ndugu yangu mwanamke ukishindwa kuvuruga vizuri mbususu lazima akiletee dharau tu
  12. mweusi asili

    JamiiForums Tanzania Watanzania tujifunze kuukubali Ukweli hata uwe Mchungu Vipi. Hili la Wasomi kusoma VETA japo Chungu, ndio Ukweli Wenyewe!

    Kwamba kwenda Veta ndio kutaondoa tatizo la ajira?, Kama ni ujuzi kwanini waliua shule za ufundi?. Serikali inakwepa jukumu lake. Tuache siasa kwenye mambo ya msingi vijana ni zaidi ya 30% ya watanzania serikali inajaribu kutatua tatizo kwa kuhamisha goli suala la ajira ni bomu UCHAWA sio ajira
  13. mweusi asili

    JamiiForums Tanzania Dar: Mke wa Bilionea Msuya akutwa na Kesi ya Kujibu mauaji ya wifi yake

    Makosa hayo ya PGO yanaweza kuharibu ushahidi na ikawezekana kuharibu hukumu kabisa ndio pale utasikia wanaoenda jela sio wote wanna hatia
Back
Top Bottom