Ndo maana wanakutana kufanya tathimini, wakibaini kwamba hawana uhalali watafanya yawapasayo kufanya. Haya mambo wakati mwingine ni magumu kuyaelewa hasa kama wewe si sehemu yake au kama unasukumwa na nia nyingine. Tusubiri taarifa yao kesho.
Namna hii mtawazuia kujichukulia sheria mkononi? Yaani anakiri kwamba walimpora Alex Swai Mali ya Sh. 50,000,000/=, adhabu inakuwa kulipa 5M, sasa nani atamfidi Alex Swai?
Watala wa ki_Afrika ni magaidi, na badala ya wao kujirekebisha, wanatwika wenzao makosa ya ugaidi. Sema mwandishi angetufafanulia uhusiano Paul Rusesabagina na Sankara anayemnyima usingizi Paul Kagame.
Lakini pia tujue, ni kwa namna gani huyu rqfiki yake alivyomlaghai, alimwambia waende...
Kwanza nitangaze wazi kwamba Mimi ni Kiongizi Mwandamizi wa Chama cha wafanyakazi sekta ya Nishati na Madini (Sekta ya Uziduaji) Tanzania, kinaitwa kwa ufupi NUMET.
Pamoja na kwamba hatuhusiki sana na wafanyakazi wa sekta ya umma ambayo inalalamika sana kwasababu za kutoongezwa mishahara, na...
Kuna dhana kwamba hakuna anayezaliwa na tabia za kishoga na hakuna anayeweza kuwa na tsbia hizo kama hafanyi mapenzi kinyume cha maumbile.
Maelezo yako yanaonekana kupingana na dhana hiyo, nami nakubaliana sana hoja yako maana tangu nasoma huko kijijini, nikiwa sijawahi kusikia neno "ushoga"...
Jana tarehe 5.7.2017, DC wa Kahama na Chama cha wafanyakazi (NUMET) waliwezesha wafanyakazi 28 wa Mgodi wa Buzwagi kupata huduma ya chakulawaliyonyimwa tangu 01.07.2017.
Hawa dawa yao ni ndogo sana. Ni kuwapigia hedabu za uwekezaji wao waondoke maana sheria inatambua kuwa, watanzania ndio wamiliki wa milele wa mali asili ya nchi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.