Mashtaka ya Ugaidi: Shujaa wa 'Hotel Rwanda', Paul Rusesabagina akutwa na hatia. Ahukumiwa kifungo cha miaka 25

Huyu bingwa na utajiri wote alionao alikuwa anahangaika nn na mambo ya bara hili?
Ndugu yetu huyu ALIJAALIWA roho ya upendo, ukweli na kujitoa kwa ajili ya wanaoonewa. "Heri wenye njaa na kiu ya haki; Maana hao watashibishwa". Mt 5:6
 
Jeneral Dallaire aliyekua boss wa majeshi ya UN wkt wa Genocide Rwanda alipoulizwa khs Movie ya Hotel Rwanda alisema:

“I think the only value of ‘Hotel Rwanda’ is the fact that it keeps the Rwandan genocide alive, but as far as content, it's Hollywood,” Dallaire said. “When people use the term Hollywood in a pejorative way, (it’s because) they produce junk like that.”
 
ha ha ha ha ha ha ha
 
Watala wa ki_Afrika ni magaidi, na badala ya wao kujirekebisha, wanatwika wenzao makosa ya ugaidi. Sema mwandishi angetufafanulia uhusiano Paul Rusesabagina na Sankara anayemnyima usingizi Paul Kagame.

Lakini pia tujue, ni kwa namna gani huyu rqfiki yake alivyomlaghai, alimwambia waende Burundi kufanya nini?
 
Binafsi, nilifikiri waendesha mashtaka wa Serikali ya Rwanda wange fanya juu chini ili kuhakikisha Rusesabagina anahukumiwa adhabu ya kifo - sina shaka Rusesa gotta nine lives like a CAT, yaani umetoka kwenye ndomo wa Mamba at the eleventh hour, ana bahati sana.
Halafu mnasemaga never again....subirini moto unaweza Waka tena hapo
 
Ninaamini kuwa,
Mungu wa haki ni LAZIMA ataingilia kati kwa kumwekea mkono wake Shujaa wa ki-Hutu aliewalinda na kuwaficha wa-Tutsi zaidi ya 1000 ili wasiuwawe.
Kagame hawezi kuendelea kuendesha nchi kama anavyotaka. AMEN
Kagame anataka aonekane yeye ni masiha sijui ndiyo maana Kila shujaa wa genocide anahukumiwa au kufa ili vitabu bimtaje yy peke yake...he won't last long koz hzo jamii zinajua nini maana ya visasi
 
Watala wa ki_Afrika ni magaidi, na badala ya wao kujirekebisha, wanatwika wenzao makosa ya ugaidi. Sema mwandishi angetufafanulia uhusiano Paul Rusesabagina na Sankara anayemnyima usingizi Paul Kagame.

Lakini pia tujue, ni kwa namna gani huyu rqfiki yake alivyomlaghai, alimwambia waende Burundi kufanya nini?
Mrembo Sankara anamnyimaje usingizi PK?Sankara alikua ni msemaji wa kundi la waasi la FLN la huyo Rusesabagina.Sankara alidakwa Kama Kuku mapema Sana huko Comoro,akaunganishwa Kwny hio case kapigwa miaka 20 jela.
 
Kagame anataka aonekane yeye ni masiha sijui ndiyo maana Kila shujaa wa genocide anahukumiwa au kufa ili vitabu bimtaje yy peke yake...he won't last long koz hzo jamii zinajua nini maana ya visasi
Tangu 1994 mpk leo story Ni hizo hizo za he won't last longer.Sasa sijui longer maana yake Ni miaka mingapi maana jamaa yupo tu anadunda.
 
ila jamaa nae kiazi sana kwanini ajiingize kwenye siasa da ila watu wa usalama nyoka sana nasikia rafiki yake wa kalibu ndio alimuuza walijua wanaenda burundi akashangaa ndege imetua rwanda
Nafikiri jamaa alivyogundua katua Rwanda chupi ililowa mikojo na pupu na kimsingi aligomea kushuka kwenye ile ndege😲! Walimfanyia ugaidi isee!
 
wewe unaesema kabambikiwa unatakakusema hata speech zake huko youtube hujazisikia?hujui kama alikua kiongozi wa kundi la waasi la FLN?kwanza huyo ni muhaini alitakiwa hukumu ya kifo,anabahati sana.
Watu wengi wamemjua huyu jamaa kupitia media za mabeberu,kisa eti ni fiction movie. Case yake haihusiani na movie zake na wazungu wake. Ila aliyoyafanya after getting money akaona sasa anzishi jeshi lake eti aje kuwa Rais.
 
Attachments

  • twitter_20210923_074657.mp4
    7.8 MB
  • twitter_20210923_074657.mp4
    7.8 MB
Rusesabagina alilewa sifa za kujibambikia,na akafikiri anaweza kuingia rwanda kwa nguvu,sasa kagonga mwamba pole zake
Kelele fala ww nyie wauaji tu wote pumbavu zenu na hicho kinchi chenu kama wilaya ya muleba munaoneana wivu na kuuana kama nzi ,pumbavu zenu.
 
Back
Top Bottom