Recent content by mwenyewe ndio mimi

  1. M

    Fahamu zaidi kuhusu kinga ya Ukimwi iitwayo PEP

    Ukimpima kama yuko kwenye window period ambayo ni miezi karibu mitatu haionekani kwenye kipimo cha kawaida sasa si itakula kwako??
  2. M

    Mwanaume nimeshindwa kula leo kwa ajili ya mapenzi

    Huwezi jua huwenda Mungu anakuepushia jambo hapo ....linalokuepuka lina kheri na wewe...!
  3. M

    Si kanifanyia fujo! Sasa naenda kumpa mumewe mambo

    We ulikuwa lazima uachwe na huyo mumeo. .eti uko na bosi wako tayari ,hivyo hukuwa na mawazo ya kutoka na mwenye nyumba .yaani unaishi kwa kusubiri lift za watu huoni aibu??
  4. M

    Mzee wa kulia akikamatwa kwenye umbea

    Huyo kaka yako ni muongo sanaa kama ni Doctor basi ni Dr manyaunyau
  5. M

    Kwa sura yake ilivyo mbaya, kamwe sitozaa naye.

    We dada huyo alo kuoa namuhurumia maana ameoa janajike utakuja kuua bure mwenzako
  6. M

    Like faza like son

    Jamanii wekeni masihara pembeni. Huyu mtoto anahitaji msaada wa haraka .Afya yake ya akili si nzuri na ili kuthibitisha hilo utaona hata mimi ninae jitahidi kumuelewa atanitukana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  7. M

    Baada ya kumtolea mahari, kejeli na kiburi vimeonekana wazi

    Huyo dada hufai nikwambie tuu ukweli. Mtu hamheshimu baba yake atakuheshimu wewe?au ataheshimu wazazi wako?dalili ya mvua ni mawingu .wewe ni mtu mzima fanya maamuzi mwenyewe kulingana na unavyoona.
  8. M

    TANZIA Kaoge afariki dunia

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] kweli initia gagaziko
Back
Top Bottom