Recent content by mwenge sugu

  1. mwenge sugu

    Angalia Namba Ya Simu yako Namba ya Mwisho inaishia namba ngapi?

    ------- tuu nyie, hmna jipya
  2. mwenge sugu

    Mapokezi ya Dr Slaa Morogoro na mkutano mkubwa wa hadhara

    Mwendo spidi mia ishirini, nipo dar acha nije nihuhudie. Unafanyija viwanja gani wadau?
  3. mwenge sugu

    Ligi Kuu tar 18/04/ 2015: Mbeya City vs Simba

    Simba hawatoki hata kwa ndumba.!
  4. mwenge sugu

    Kanye West aanzisha Biblia yake, ajiita Mungu

    Kanye kavurugwa, atatufundisha nini kuhusu mungu bhana! Na biblia imejificha wapi?
  5. mwenge sugu

    Kitanda cha mtoto mtarajiwa wa Diamond ni Madini tupu

    Eeee wana JF eee! Acheni umburula kwa ajili ya mtoto wa tandale. Zali ana watoto watatu, kila mmoja na baba yake. Diamond kakutana na huyo demu wakati ana kimimba kichanga kabisa aisee! Lakini Zali alikuwa na plan ya kufanya kazi na chibu, akaona isiwe kesi, na mimba hii lazima nimpakazie ili...
  6. mwenge sugu

    Zitto, una maana gani katika kutaja mikoa yenye maendeleo zaidi Tanzania?

    Zito hana jipya, jimbo lake kimemshinda, ataweza ya taifa kwa umla. Sugu ana miaka mitano tu bungeni, ahadi aliyo ahidi kusoma kwa komoyuta kaitimiza. Zito miaka 10 bungeni anaongea vitu anashindwa kutekeleza, huyo ni mpumbavu bwana. Anae muelewa nae ni mbulula tuu.
  7. mwenge sugu

    Zitto, una maana gani katika kutaja mikoa yenye maendeleo zaidi Tanzania?

    Zito hana jipya, jimbo lake kimemshinda, ataweza ya taifa kwa umla. Sugu ana miaka mitano tu bungeni, ahadi aliyo ahidi kusoma kwa komoyuta kaitimiza. Zito miaka 10 bungeni anaongea vitu anashindwa kutekeleza, huyo ni mpumbavu bwana. Anae muelewa nae ni mbulula tuu.
  8. mwenge sugu

    Mnaowalaani Al Shabab, mnajua wanachofanyiwa Wasomali kwenye nchi yao na askari wa Kenya?

    Kweli kabisa mkuu #Investigator . Hawaini hata aibu waislam hawa.
  9. mwenge sugu

    Gaidi wa kitanzania aliyekamatwa nchini Kenya ahojiwa

    Mwenye picha yake tupieni tumuone jamani
  10. mwenge sugu

    Mwenyekiti wa CUF wilaya ya Chato ahamia ACT wazalendo

    Walioenda ACT woote, kuanzia zito Kabwe wote ni vilaza, wanatema big G. Kwa karanga za konjeshwa! Hawajui mbele.
  11. mwenge sugu

    Deus Mallya Ajiunga na ACT Wazalendo

    ACT ndiyo hamna kitu kabisa! Wanamfata msaliti, ndoto hazita timia kamwe. Tumewalea wenye we hao, wameota mapembe wanajiona wakubwa! Subirini kifo cha mende.
Back
Top Bottom