Kimekuja kinashika channel za startimes zote, za free kama ITV,EATV,TV1,Safari zinaonekana ila za kulipia zinakua 'scrambled'. Pengine provider pekee ni Startimes.
Kinauzwa shilingi elfu kumi ,nilijaribu kupitia youtube japo napo pia inaonesha ni kitu fulani hakieleweki maana hata hizo towers sijui kama zipo.kwa ajili ya udadisi nimekiagiza na kipo njiani kinakuja. Ila sina hakika kwa kweli na utendaji wake kila ninaemuuliza hafahamu.
Habarini za wakati huu wakuu
Niliona sehemu mtandaoni wanauna kadubwasha kanaitwa "HDTV Antenna" kana uwezo wa kupata idadi kubwa cha tv channels kwa kukaweka katika muelekeo fulani kama dish.Nimevutiwa kukanunua ila sina hakika kama kwa nchi ya Tanzania kanaweza fanya kazi au la.Kwa wenye...
Taja kitu ambacho kilikua kinakupa shida sana na ulikiona kinakusumbua ila baadae kwa namna fulani na juhudi kubwa ulifanikiwa kukibadili!! Mfano: "Nilikua napata shida sana kusimama na kuongea mbele za watu ,Ila baada ya kujifunza na kusoma namna watu wanatakiwa kufanya wanapotakiwa kuongea...
Habarini wadau.
Naamini humu ndani kuna watu wenye ndoto mbalimbali,ila kubwa ni kwa wale wenye ndoto za "public speaking" uandaaji wa mikutano , mafunzo na mengine kama hayo.
Licha ya hivyo pia kuwa na uwezo wa kufanya hivyo kwani haiishii kwenye ndoto pekee.
Mimi ni mmoja wa watu wenye ndoto...
Habarini wadau,
Nilikuwa na wazo langu la kuanzisha na kurusha kipindi cha burudani cha runinga.Nilifanikiwa kuvitengeneza vipindi vipatavyo sita.Bahati mbaya mtu nliemtegemea kama muongozaji wangu sipo nae kwa sasa kutokana sababu zilizo nje ya uwezo. Naomba kujua :
Ni taratibu zipi zinafuatwa...
Nmefika Dodoma tangu hii mikutano ya ccm kuanza imekua kai kuliko.kumekua na foleni haijawah tokea hasa asubuhi,usipokua makini kazini unaingia saa nne maana mnasimamishwa zaidi ya masaa mawili ndo msafara mmoja upite.Ni kama shughuli za kiraia zimesimama imebaki misafara ukizingatia mji wenyewe...
Wataalamu naombeni msaada nina mama yangu hapa ametapika sana usiku huu.haumwi na chakula alichokula ndiyo tumekula familia nzima,isipokua kwake yeye imekua tofauti katapika sana.
Ila pia tatizo baada ya kutapika ni kama alivuta kupitia njia ya hewa.sasa hapo ndipo panamsumbua.vinamkosesha raha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.