Mwenye ndoto za kuandaa semina,mikutano na mafunzo.

mwenebhukabo

Member
Mar 2, 2014
24
9
Habarini wadau.
Naamini humu ndani kuna watu wenye ndoto mbalimbali,ila kubwa ni kwa wale wenye ndoto za "public speaking" uandaaji wa mikutano , mafunzo na mengine kama hayo.
Licha ya hivyo pia kuwa na uwezo wa kufanya hivyo kwani haiishii kwenye ndoto pekee.

Mimi ni mmoja wa watu wenye ndoto hiyo japo hivi sasa ni muajiriwa toka kwenye shirika fulani lisilokjwa la kiserikali na nafanya kazi inayofanana na hiyo kwa maana nilipenda kujikuza kwa upande huo.

Kwa kipindi sasa nimekua na harakati ambazo zililenga kufanya hii shughuli katika upana wake ila sikuweza kulingana na mazingira haya niliopo.

Changamoto si mtaji hapa,kwani shughuli hii mtaji wake mkubwa ni watu (good minded) wanaoweza kukaa na kulifuma.

Kama kuna mtu au watu ambao wangependa kujumuika nami katika hili basi wani-DM tujadili.

Kumbuka kwa kuanzia mimi napatikana DODOMA na nategemea kabisa vijana wa Dodoma ambao wanaliona hili kama fursa wanaweza ungana nami.

Asanteni.
 
Ukiwa na pesa ndoto yako itatimia mtu mkuu. Tangaza hata posho ya Tsh.3000 kwa kichwa kisha kodi ukumbi wa bei chee utafanya na kutimiza ndoto yako. Hata mada ikiwa kugegedana watu watafika kufuata hiyo fedha hasa kipindi cha kuisoma namba ma wewe utakuwa umetimiza yako.
 
ni kweli...hapa kubwa ni mwanzo tu yote ni marahisi kutngeneza team
 
Ukiwa na pesa ndoto yako itatimia mtu mkuu. Tangaza hata posho ya Tsh.3000 kwa kichwa kisha kodi ukumbi wa bei chee utafanya na kutimiza ndoto yako. Hata mada ikiwa kugegedana watu watafika kufuata hiyo fedha hasa kipindi cha kuisoma namba ma wewe utakuwa umetimiza yako.
siku izi semina nyingi ni ujasiliamali na kujiajiri yani hata ambao awana vigezo wamo na ikizingatia ajira ni tatizo.
 
Back
Top Bottom