Habari za leo ndugu zangu,najua humu Kuna madaktari au sio daktari lakini unaweza kunielekeza wapi kwa kupata msaada.
Kama kichwa kinavyojieleza nimekuwa na tatizo la kuumwa ugonjwa wa ngozi mnoo nimeshatumia dawa mbalimbali kutoka kwa specialist mmoja (za kupaka) lakini bado.naomba anayejua...
Habari za leo,Kuna kampuni tajwa hapo yenye makao makuu morogoro inajishughulisha na kulima, yaani unatoa hela ya mtaji Kisha baada ya miezi kadhaa kulingana na zao unapewa hela(mtaji na faida) , naomba anaifaham anisaidie ufafanuzi mi nipo mkoa mwingine ili Kama inafaa niwekeze
Nashukuru
Habari za humu ndani wakuu, kama heading inavyojieleza mimi nipo morogoro mjini ninayo cherehani ila nina majukumu mengine yanayonibana,natafuta mtu aliye serious na kazi na anajua kushona vizuri nimkabidhi cherehani kwa makubaliano maalumu tuweke kijiwe tupige kazi.
mwenye uhitaji huo nicheki...
Naona hapa ndio mahali naweza kupata maelezo, kwa TANESCO mkoa wa mwanza pale Nyakato nguzo zinakuja lini jamani maana toka mwezi wa nane niliambiwa zimeisha na zitakuja hivi karibuni lakini mpaka sasa kimya! Kulikoni
Hiyo biashara ya mtandao sijui jina ila kuna mtu alinidokezea nijiunge chini yake kwa 600k afu kila siku napata 10 kitu kama hicho kwa miezi 6 hivyo nakuwa nimeingiza kama milioni na nusu hivi, (
mambo ya good morning hata kama ni mchana)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.