Recent content by Mwendawazimu wetu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hebu tuijadili hii kampuni ya GAC

    Wapo Nyerere road karibu na Toyota Tanzania.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Zambia

    Una uhakika mkuu?au Zambia gani waongelea wewe?labda vijijini,ebu shuka tu pale jijini Lusaka chukua chai na mkate,angalia chai ilivyo nzuri na mkate, imagine huyo ni mama ntulie wa kawaida Tu,vipi migahawa?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Zambia

    Siku moja nilikuwa kwenye daladala(kipanya)natoka maeneo ya state area nakwenda mjini,nashangaa gari zima anayejua uingereza ni mmoja mdada fulani hivi,yani konda hajui kingereza na abiria wengine pia hawajui,na nilikuwa naulizia kituo fulani hivi cha kushukia kabla ya kufika town Kati,by the...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Unatamani kuishi wapi hapa Tanzania ili wenyeji tukupe Abc?

    Siyo Lushoto,sema London ya Tanzania,ni pazuri balaaaaa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ukiambiwa kuna viwanja vya bure uchague tu sehemu ya kujenga na kuishi kati ya Vikindu, Kibaha, Chanika na Bagamoyo, utachagua kujenga wapi?

    Kibaha pako poa sana pia because it's too close to the city,but mie mroho wa samaki ndio maana nikapenda Bagamoyo.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ukiambiwa kuna viwanja vya bure uchague tu sehemu ya kujenga na kuishi kati ya Vikindu, Kibaha, Chanika na Bagamoyo, utachagua kujenga wapi?

    Bagamoyo is the BEST,naishi Bagamoyo Nia Njema,nafanya kazi Chang'ombe.From monday-friday nakuwa kazini(driving every day)Sat-Sun nakuwa Shambani kwangu kwenye mananasi Kiwangwa na msimu wa mpunga nakuwa shambani Ruvu kwenye mpunga.Nina heka 5 za mpunga ambazi zinaendesha familia kwa chakula cha...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Niliyoyaona nilipotembelea mkoani Tanga

    Ulikuwa huna kazi nyingine za kufanya?au wadhamini walikudhamini? siwezi fanya jambo hilo eti nikatilii,lakini sawa sii uliamua mwenyewe bhana😔,hiyo pesa sii ni bora ntafute demu wa Masaki!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tunaotarajia kuomba Open University of Tanzania tukutane hapa wakuu

    Could you please explain? 🧐
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tunaotarajia kuomba Open University of Tanzania tukutane hapa wakuu

    Wallah ngoja na mm nirudi Darasa Sana,naomba kujua BUSINESS COURSES zitolewazo OUT please na ada zake.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tunaotarajia kuomba Open University of Tanzania tukutane hapa wakuu

    Duh 😳😳,Watuachie chuo chetu hao watoto wa 2000🤣🤣🤣
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nauza Mchele mzuri na Maharage kutoka Mbeya kwa bei nafuu

    Hujasoma maelezo mkuu?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Fursa kubwa kwenye ufugaji wa Ng'ombe wa Maziwa

    Niunge kwenye hilo group mkuu
Back
Top Bottom