hicho ni chama shikizi ndio maana ilikuwa rahisi kufanya hivyo,hawa kaki wakijaribu njia hiyo hiyo sidhani kama watatoboa ila inaonekana ni njia sahihi
Hapa kwetu hawezi kufanya hayo mambo, niliwahi kushuhudia Kagame na vijana wake walikuja na mbwembwe kama hizo Ikulu ya mwanza wakambiwa hii ni Nch! ya amani huo utaratibu wa kuonyesha siraha kwenye msafara wa vingozi sisi hatuutaki na waka tii sheria
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.