Recent content by MWEMBEKIUNO

  1. MWEMBEKIUNO

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

    Nisaidie link nidownload
  2. MWEMBEKIUNO

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

    Umetumia link ipi?
  3. MWEMBEKIUNO

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

    Inatawa aandikaje?
  4. MWEMBEKIUNO

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Unapatikana mkoa gani
  5. MWEMBEKIUNO

    JamiiForums Tanzania Watu wenye iPhone wanafaidi sana

    Iphone ni simu nzuri sana, Siku nikipata hela nitanunua na mimi hiyo
  6. MWEMBEKIUNO

    JamiiForums Tanzania Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

    Oya hili dude la kiume
  7. MWEMBEKIUNO

    JamiiForums Tanzania Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

    Gari ya chini sijawah kuielewa, mzee aliniachia defender yake mwaka 2012 hadi leo ndio gari yangu na sina mpango wa kununua nyingine maybe kuiboresha hii
  8. MWEMBEKIUNO

    JamiiForums Tanzania Gari yangu ya kwanza nimenunua, Nissan Dualis

    Hapa unatusema team crown aisee
  9. MWEMBEKIUNO

    JamiiForums Tanzania Pikipiki ya 110cc naweza kusafiri nayo umbali mrefu?

    Yah natumia one hour barabaran nakua nishafika
  10. MWEMBEKIUNO

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

    Nataka nichukue dell latitude 7280 vipi itakubali kucheza
  11. MWEMBEKIUNO

    JamiiForums Tanzania Naombeni kufundishwa kuendesha Pikipiki

    Ni simple sana, Mimi nilifundishwa siku 1 tu tena nusu saa tu nikajua
  12. MWEMBEKIUNO

    JamiiForums Tanzania Naombeni kufundishwa kuendesha Pikipiki

    Kusimama utabana cruch na kukanyaga brek
  13. MWEMBEKIUNO

    JamiiForums Tanzania Naombeni kufundishwa kuendesha Pikipiki

    Unaiwasha, alaf unabana cruch ( ipo kushoto) alaf unaweka gear, utavuta mafuta taratibu wakat unaachia cruch slowly itaanza kwenda yenyewe
  14. MWEMBEKIUNO

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia simu yako kama 'Remote Control'

    Kwahyo hata kama simu haina infared port itakubali..?
Back
Top Bottom