Wizara ya TAMISEMI bajeti yao siielewi kwani inaonekana bora ya jafoo kuliko alieopo ni hatari nyumba zinajengwa kwa mamilioni ya pesa mfano kuna nyumba nimeona inajegwa kwa 830m nyingine uzio tu 170 M hivi mnatutendea haki vijana wa kitanzania na wananchi kwa ujumla. Mlidanganya ajira za...
Nimekuwa nafatilia bunge bajeti tangu lianze vijana tumekuwa tunadharaurika kila kiongozi anatusema sisi vibaya tufanyeje ili kuepuka kikombe hiki.
Alianza mhe spika vijana wengi akimaanisha karibia wote hawaaminiki hii aliwakusanya nadhani mpk vijana wake waliowazaaa.
Leooo hii ndo kali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.