Recent content by Mwema

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaaada: tatizo la ganzi na kuwashwa mwili mzima

    Kama hajawahi kupima kisukari, ni bora akapime sasa na kupata ushauri wa daktari
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaaada: tatizo la ganzi na kuwashwa mwili mzima

    Mpeleke akapime kisukari
  3. M

    JamiiForums Tanzania Maandamani a Waislamu

    Nina waraka nimepata wa waislaam. Nitauscan na kuupost muone. Hawa jamaa wameamua kweli kweli. Ni mtandao mpana kitaifa. Serikali isipokuwa makini, tunaelekea kubaya.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba/chumba cha kupanaga:arusha

    nipigie tuwasiliane. 0713892024
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kambi ya Lowassa kazini: Askofu Laizer aunga mkono Lema kuondolewa Arusha!

    Tatizo ni kwamba baadhi ya viongozi wa dini wanajisahau kuwa wanaongoza watu wa itikadi na mitazamo mbalimbali. Kanisani na misikitini si mahali sahihi pa kiongozi wa dini kuonesha ushabiki wake. Bora akaonesha ushabiki na mapenzi yake kwa familia yake.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mweeeeeee!

    Ukame ulivyozidi kuongezeka kwa sababu ya tabianchi, huyu aweza kuwa suluhisho!
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2010 CCM yahaha Karatu

    Dr. Slaa alikuwa ccm kabla ya kufanyiwa mizengwe na ccm na hivyo kuhamia chadema. Sina hakika kamahuyu naye kafanyiwa mizengwe ccm.
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2010 Kamba hukatikia pabovu

    Unataka kusema hapa ni pabovu na kuwa panakaribia kukatika?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Bunge limepitisha bajeti 2009/10

    It was expected. Lini ulisikia bunge la Tz limeota meno? It is a toothless dog, it cannot bite!
Back
Top Bottom