Recent content by mwelevu mno

  1. mwelevu mno

    Hivi wadada mnataka mpendwe vipi?

    We ni direct tuu unisaidie maana mgonjwa hafichi ugonjwa wake kwa daktari
  2. mwelevu mno

    Najiuliza: Kaniambia "swala la mimi kufanya mapenzi litoe akilini"

    Siku hz mkuu hata romance zenyewe hatoi pia kuja ni mara chache chache sana
  3. mwelevu mno

    Hivi wadada mnataka mpendwe vipi?

    Hapana siijui ni nini kwani
  4. mwelevu mno

    Najiuliza: Kaniambia "swala la mimi kufanya mapenzi litoe akilini"

    Wana JF, Naombeni mnisaidie kitu kimoja, nina mpenzi wangu mmoja kiukweli nilimpenda sana ila sasa kunasiku nikamuuliza kama yeye ni bikra akaniambia yeye ni bikra. Sasa kuna siku akabadilika tena akaniambia "kuna kitu nataka nikwambie ila usipanic nikikwambia"ni kasema niambie tu...
  5. mwelevu mno

    Hivi wadada mnataka mpendwe vipi?

    Jamani nyie wadada wa siku hizi hivi mnataka mtu awapende vipi ili mtu kama anawapenda maana kila kitu mnapewa ila bado mnaishia kusaliti tu mna maana gani.
  6. mwelevu mno

    Je, ni kweli mwanamke hawezi kabisa kusahau mwanaume aliyemtoa bikra?

    Jamani iwekeni hiyo kitu kwa lugha ya kiswahili ili wote tuelewe
  7. mwelevu mno

    Natafuta mume kuanzia 33-45

    Sasa dada kwani wanaume wa kihaya wana shida gani mbona huwataki.
  8. mwelevu mno

    Je, ni kweli mwanamke hawezi kabisa kusahau mwanaume aliyemtoa bikra?

    Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hv ni sahihi kuwa msichana katu hawezi kumsahau yule mvulana au mwanaume wa kwanza kumtoa bikrA yake.
  9. mwelevu mno

    Natamani kufanya naye mapenzi ila hanielewi

    Nado mapema sana vuta subiraaa
  10. mwelevu mno

    Wanaume tuwafanye hivi wanawake wasiokua na mapenzi ya dhati

    Ooohooo sasa si unaweza ukarogwa kwa staili hiyo
Back
Top Bottom