Ndio maana hivi Sasa wanaume waoaji wamekuwa adimu madogo wa Gen Z wameshitukia mchezo.Madogo endeleeni kukaza hivyo hivyo na kataa ndoa ili haya mashetani akili ikae sawa naona sasa hivi yanatanga tanga mitaani thamani imeshuka
Shemeji yangu ndugu wa wife amefariki wiki iliyopita akiwa ICU akipambania uhai,alivamiwa na vibaka huko Arusha wakamshambulia na kumjeruhi vibaya kisha wakamuibia.Hao machalii wa Arusha wana usela mavi sana na kazi hawataki kufanya zaidi ya uhalifu
Madalali wanaharibu Kila aina ya biashara kwa tamaa zao za kupata utajiri wa haraka,ni suala la muda tu hivi viwanja vinavyouzwa milioni 500 Sasa vitauzwa baadae kwa milioni 50-100 REAL ESTATE Sasa hivi bei ziko overrated sana kuliko uhalisia na watu wanaingia kichwa kichwa,yetu macho
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.