Recent content by MWAVESO MWACHIRUWA

  1. MWAVESO MWACHIRUWA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najua watu wataniona mjinga ila Lamine Yamal is talented than Lionel Messi

    Nimejitahidi nikuone Mjinga kama ulivyosema ila nimeshindwa, pole kwangu nimekuona Mpumbavu.
  2. MWAVESO MWACHIRUWA

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mnyika, Japo Uchaguzi Sio Huru, Wa Haki na Halali, lakini Usimwite Rais Haramu!. Baada ya Kuapishwa ni Rais Halali Kisheria japo Sio Ki Haki!

    Nilimsikia mzee Mmoja akisema azima chochote kutoka kwa mtu lakini sio ujinga wake,jitahidi kwenye utengeneze ujinga wako.
  3. MWAVESO MWACHIRUWA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TeamCCNA-TZ

    Salam, kwa wale Watu wa IT,Computer science,Telecommunication na any related field...CCNA sio kitu kigeni sana kwao.Ni Course inayohusu Networking(Routing and Switching) na demand ya hii course ni kubwa katika soko la Ajira. Mtihani wa hii course unagharimu si chini ya dola 300. Na kama...
  4. MWAVESO MWACHIRUWA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu CCTV camera

    Analog Camera 2MP -TSh45000 3MP -Tsh 55000 4MP -Tsh 68000 DVR - Tsh120,000(inategemea ni ya Channel ngapi). ETC. Coxial Cable 100m -130,000 Connector zake -1200@1 Ila pia ni vyema kufanyiwa survey ya eneo lako kabla hujaamua kuweka camera.
  5. MWAVESO MWACHIRUWA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu CCTV camera

    Naomba uhifadhi namba yangu pindi ukihitaji! Shukrani
  6. MWAVESO MWACHIRUWA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu CCTV camera

    Analog Camera 2MP -TSh45000 3MP -Tsh 55000 4MP -Tsh 68000 DVR - Tsh120,000(inategemea ni ya Channel ngapi). ETC. Coxial Cable 100m -130,000 Connector zake -1200@1
  7. MWAVESO MWACHIRUWA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu CCTV camera

    Kwanza Camera zipo za aina mbili yaani IP na Analog Camera.Tofauti zao ni kwamba Analog ni Plug and play(passive),na bei zake kidogo ni nafuu.IP camera zinahitaji configuration kidogo. Bei za Camera zinatofautiana kutokana na Megapixel(uwezo wa picha),Zinaanzia 2MP mpaka 6MP etc. Kawaida camera...
  8. MWAVESO MWACHIRUWA

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amvaa Ndugai. Asema, "Huwezi kuamini mtu mzima ana-argue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3"

    Nasikia upo uwezekano wa Jobo kumuita Raisi kwenye kamati ya Maadili ili ajieleze kwanini amembaragaza spika!.
  9. MWAVESO MWACHIRUWA

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amvaa Ndugai. Asema, "Huwezi kuamini mtu mzima ana-argue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3"

    Ni wakati wake wa kujiuzulu ili kulinda heshima yake na Rais
  10. MWAVESO MWACHIRUWA

    JamiiForums Tanzania Siasa zetu na Hatima ya Tanzania sehemu ya III: Asante Prof Safari Umesikika Vizuri

    Kaka,Paka anayetafuna hawezi kukamata Panya!! Tujikite kwenye haya:- Mosi,Tuielimishe Jamii umuhimu wa katiba mpya na madhara ya katiba ya Sasa ambayo tuko nayo pasi nakuchoka! Pili,Umuhimu wa Tume huru ya Uchaguzi usionekane kua na maslahi kwa wapinzani tuh kama ambavyo jamii inaaminishwa,...
  11. MWAVESO MWACHIRUWA

    JamiiForums Tanzania Siasa zetu na Hatima ya Tanzania sehemu ya III: Asante Prof Safari Umesikika Vizuri

    Nilimaanisha hivi...hatupaswi kuwaachia wapinzani wapambane pekee yao katika upatikanaji wa katiba mpya na Tume huru, Jambo gani liliwahi kusimamiwa na Wapinzani halafu likaungwa mkono na CCM.???Pengne mimi mgeni sjui! ....Ifike hatua tuwe tayari kujilaumu sisi wananchi kwa kutojua Umuhimu wa...
  12. MWAVESO MWACHIRUWA

    JamiiForums Tanzania Siasa zetu na Hatima ya Tanzania sehemu ya III: Asante Prof Safari Umesikika Vizuri

    Kuwachia Wapinzani wapiganie Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya ni kujipa Faraja tuh ya tatizo na kamwe haitakua Suluhisho... Siku tukifahamu kua hili jambo linawahusu wananchi kuliko Upinzani kutakua kushakucha!!
  13. MWAVESO MWACHIRUWA

    JamiiForums Tanzania CCM Yamchefua H. Polepole

  14. MWAVESO MWACHIRUWA

    JamiiForums Tanzania Dunia ya Mungu, Vitu vya mzungu

Back
Top Bottom