GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,652
- 14,247
Binafsi napenda sana wasomi ambao wanatumia akili zao ipasavyo. Napenda walio na akili wanapochangamsha akili zao.
Siku zote napiga kelele wapinzani mnasema mnataka kwenda Ikulu.mnatumia njia gani?Katiba hii yenye kumpa mamlaka Rais kuteua Tume ya Uchaguzi? Kwa Katiba hii yenye kumpa Nafasi ya ushindi Rais aliyepo Madarakani?
Ndipo napogundua either wapinzani ni wapumbavu (ashakum si matusi) au mamluki hawana nia ya dhati ya mabadiliko ya kisiasa.
Nlishatoa mifano mingi hapo nyuma. Na sasa nasema tena WAPINZANI KUWENI SERIOUS.ACHENI USANII MWAKA 2020 MNATEGEMEA NINI KWENYE UCHAGUZI? MNATAKA KUSHIRIKI UCHAGUZI MPATE NINI?
www.jamiiforums.com/threads/unafiki-wa-wanasiasa-wapinzani-uongozi-wetu-na-hatma-ya-tanzania-sura-ya-1.1646918