WAKULICHOMEKA Leo nimepita maeneo yale na mbaya zaidi nimewakuta wawili ndiyo wanaingia ndanimwao wakiwa wamebebelea mfuko wavitu nasalamu wamenipa kishanikawaambia nami naomba walivobeba nikapewa maparachichi mawili. Ilikuwa ni saa tano na nusu Usiku (2330).
SAMSUN Nenda taifa lolote duniani wanajeshi huwezi kuwakuta wanatukanwa nakudhalilishwa kama hapa kwetu. Kwanini tuwakatishe tamaa wanajeshi wetu, Hebu tuwaheshimu ili nawao watulinde.
Wakulichokomeza Mimi hiyo ndiyo mitaa yangu nasijawahi kuwaona hawa makamanda wakike wakimuwajibisha MTU. Angalia huyo nduguyo asije akawa anakupa utetezi kumbe aliwakosea maana nawale siyo wehu wapige bila sababu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.