Recent content by mwasiwu

  1. mwasiwu

    Kwa Njombe simu za touch tunaita za KUPYATILA, kwenu mnaziitaje?

    Mbona mm nipo njombe na najua kuwa smart fon kwetu zinaitwa simu za kupyatila,umemjibu vibaya mtu wa watu kwa lipi?? Na unaaibishwa kwa lipi?? Mbona mm niliye njombe sion ni kwa namna gan nimeaibishwa?? Mama zake wanahusika vipi na alicho kiandika?? Punguza mihemko,tumia na kabusara kidogo, kama...
  2. mwasiwu

    Azam news wamekuja Juu sana kwa habari

    Mkuu acha chuki za wazi, azam wamefanya uwekezaji mkubwa zaid na ulio bora zaidi kuliko kituo chochote kile cha tv tanzania,hata rangi yao na resolution ni the best kuliko hao wengine na hata studio zao ni the best,taarifa zao ni za kina na zenye uchambuzi wenye weledi,kwa upande wangu nadhani...
  3. mwasiwu

    Alute Mughwai: Afya ya Lissu yazidi kuimarika, wiki ijayo nitakuwa na 'Press Conference' nitazungumza yote

    Kama taarifa hii inakukera si lazima ikufikie wewe unaependa isiwe ya kitaifa,achana nayo na ipotezee kabsa ikibid
  4. mwasiwu

    Rais Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Rais wa baraza la Maaskofu Tanzania na Mufti na Sheikh Mkuu

    Acha kuongopa bwana mkuu,hajawahi na hatowahi kamwe kuwa mkuu wa kanisa katoliki tanzania ila tu atabaki kuwa mkuu wa kanisa la dar es salaam ambako ndiko sehemu yake ya utawala kama askofu wa jimbo na c kama kadinali
  5. mwasiwu

    Jerry Muro: Tundu Lissu njoo uone

    Ingekuwa heri kama mngejishughulisha kuisoma barua kutoka acia imeeleza wazi kwamba ni mpaka aproval yao na mpaka sasa hawajapokea proposal yoyote, sasa sielewi shangwe hizi ni za nini,ndio maana tunaibiwa sana kwenye mikataba ya kimataifa kama hii kwa kuwa hatupendi kusoma
  6. mwasiwu

    Polycarp Kardinali Pengo kujiuzulu ndani ya miezi 22 ijayo

    Umeilinga tena kauli yako hivyo kukubaliana na hoja yangu
  7. mwasiwu

    Polycarp Kardinali Pengo kujiuzulu ndani ya miezi 22 ijayo

    Nakubaliana na kauli yako kwa namna moja lakini very rare padri kupata uaskofu na uaskofu mkuu directly ndio kwanza nasikia kwako,kuhusu uaskofu mkuu sijasema mapadri wa dar hawawezi kuu pata uaskofu mkuu wanaweza upata kama tayari washapata uaskofu,umetokea mfano songea ambao pia hawajapata...
  8. mwasiwu

    Polycarp Kardinali Pengo kujiuzulu ndani ya miezi 22 ijayo

    Hata ku google tu huwezi mkuu?? Histotia ya kanisa ipo wazi hadi mtandaoni
  9. mwasiwu

    Polycarp Kardinali Pengo kujiuzulu ndani ya miezi 22 ijayo

    Siyo laxima askofu anayefuata akawa cardinal maana cardinal siyo cheo rasmi ndani ya kanisa,kuna walei ni makadinali na kuna mapadre ni makadinali siyo lazima awe askofu tu
  10. mwasiwu

    Polycarp Kardinali Pengo kujiuzulu ndani ya miezi 22 ijayo

    Mmhh mkuu balozi wa papa si anayechagua askofu wa mahalia,na kwa sababu dar ni jimbo kuu tegemea askofu kutoka jimbo jingine lolote la tanzania kupandishwa daraja na kuwa askofu mkuu kisha kuhamishiwa jimbo la dar
  11. mwasiwu

    Pengo: Kauli ya Askofu Niwemugizi (kwamba Katiba Mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi) siyo msimamo wa Kanisa Katoliki

    1.Pole maana ww ndio huujui ukweli,Pengo anamsema askofu mwenzie kwamba siyo msemaji wa kanisa na kwamba yale ni mawazo yake binafsi na yeye anasahau kwa wakati huo huo kwamba pale alipo siyo msemaji wa kanisa na wala hajatumwa na kanisa,alipaswa kutohukumu maana makosa anayo muhukumu mwenzie...
  12. mwasiwu

    Risasi za Lissu na majasusi wa Urusi nchini Montenegro

    Umenifanya nicheke sana,kuna watu vichwa vyao huvitumia kufugia nywele tu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. mwasiwu

    Kwa hizi albadiri nilizozishuhudia leo hakyanani tujiandaeni kwa Msiba mzito Tanzania

    Haaa haaa haaa afadhali kama hukushiriki gentamycine maana najua bado upo Puerto rico Sent using Jamii Forums mobile app
  14. mwasiwu

    Kauli hizi za huyu Padri wa huku Puerto Rico ibadani leo zimenigusa sana

    Umeandika madini leo na yanathamani haswaa,shida ni hawa wazungu wanaelewa basi maana wanaonekana kuwa na shingo ngumu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom