Alute Mughwai: Afya ya Lissu yazidi kuimarika, wiki ijayo nitakuwa na 'Press Conference' nitazungumza yote

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,513
lissu+pic.jpg

Dar es Salaam. Kaka wa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, Alute Mughwai amesema mdogo wake anaendelea na mazoezi na afya yake inaimarika siku hadi siku.

Lissu anayeendelea na matatibu hospitali ya Nairobi nchini Kenya anakoendelea na matibabu baada ya kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 akiwa katika makazi yake Area D mjini Dodoma Septemba 7 na hadi sasa amefanyiwa upasuaji mara 17.

Akizungumza na Mwananchi lililotaka kujua hali ya Lissu ambaye pia ni Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) alisema: ‘’Lissu anaendelea vizuri na mazoezi anafanya…afya yake imekuwa ikiimarika siku hadi siku.”

Mwananchi lilipotaka kujua utaratibu wa kumsafirisha nje ya Kenya kwa matibabu zaidi, Alute aliyeko Nairobi alisema; ‘’Wiki ijayo nitakuwa na ‘Press Conference’ (mkutano na waandishi wa habari) nitazungumza yote na ‘the way forward.”

Picha mbalimbali zimekuwa zikitoka zikimwonesha Lissu akiwa mwenye tabasamu na wakati mwingine akiwa nje ya wodi katika kiti cha magurudumu pale anapotembelewa na ndugu,jamaa na marafiki.

Oktoba 17, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu afya ya Lissu, alisema baada ya matibabu awamu ya pili kukamilika, awamu ya tatu itafanyikia nje ya Kenya.

Alisema baada ya Chama hicho kushiriki kwa ukaribu zaidi katika awamu ya kwanza na ya pili, jukumu la usimamizi wa matibabu ya awamu ya tatu itakayofanyika nje ya Nairobi wataiachia familia ila wakishirikiana nao pale itakapohitajika.

Mwananchi
 
hallelujah!!
 
Kaka wa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, Alute Mughwai amesema mdogo wake anaendelea na mazoezi na afya yake inaimarika siku hadi siku.

Lissu anayeendelea na matibabu hospitali ya Nairobi nchini Kenya anakoendelea na matibabu baada ya kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 akiwa katika makazi yake Area D Mjini Dodoma Septemba 7 na hadi sasa amefanyiwa upasuaji mara 17.

Akizungumza na Mwananchi lililotaka kujua hali ya Lissu ambaye pia ni Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika TLS alisema: "Lissu anaendelea vizuri na mazoezi anafanya.. Afya yake imekuwa ikiimarika siku hadi siku".

Mwananchi lilipotaka kujua utaratibu wa kumsafirisha nje ya Kenya kwa matibabu zaidi, Alute aliyeko Nairobi alisema; "Wiki ijayo nitakuwa na 'Press Conference' (mkutano na waandishi wa habari) nitazungumza yote na 'the way forward".

Sawa kila Heri na poleni sana kwa kuuguza lkn Tundu Lisu siyo swala la Kitaifa mtambue hilo hivyo msitake kutulazimisha kujua kinachoendelea, waache watu walio karibu naye ndiyo wajulishwe!

Pole sana!
 
lissu+pic.jpg

Dar es Salaam. Kaka wa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, Alute Mughwai amesema mdogo wake anaendelea na mazoezi na afya yake inaimarika siku hadi siku.

Lissu anayeendelea na matatibu hospitali ya Nairobi nchini Kenya anakoendelea na matibabu baada ya kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 akiwa katika makazi yake Area D mjini Dodoma Septemba 7 na hadi sasa amefanyiwa upasuaji mara 17.

Akizungumza na Mwananchi lililotaka kujua hali ya Lissu ambaye pia ni Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) alisema: ‘’Lissu anaendelea vizuri na mazoezi anafanya…afya yake imekuwa ikiimarika siku hadi siku.”

Mwananchi lilipotaka kujua utaratibu wa kumsafirisha nje ya Kenya kwa matibabu zaidi, Alute aliyeko Nairobi alisema; ‘’Wiki ijayo nitakuwa na ‘Press Conference’ (mkutano na waandishi wa habari) nitazungumza yote na ‘the way forward.”

Picha mbalimbali zimekuwa zikitoka zikimwonesha Lissu akiwa mwenye tabasamu na wakati mwingine akiwa nje ya wodi katika kiti cha magurudumu pale anapotembelewa na ndugu,jamaa na marafiki.

Oktoba 17, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu afya ya Lissu, alisema baada ya matibabu awamu ya pili kukamilika, awamu ya tatu itafanyikia nje ya Kenya.

Alisema baada ya Chama hicho kushiriki kwa ukaribu zaidi katika awamu ya kwanza na ya pili, jukumu la usimamizi wa matibabu ya awamu ya tatu itakayofanyika nje ya Nairobi wataiachia familia ila wakishirikiana nao pale itakapohitajika.

Mwananchi
sikuhizi kila mtu akijisikia anafany press conference tunakwenda wapi? mbona mnaendeshwa kwa matukio
 
Kila jambo moja lina mitazamo na tafsiri nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sawa kila Heri na poleni sana kwa kuuguza lkn Tundu Lisu siyo swala Kitaifa matambue hilo hivyo msitake kutulazimisha kujua kinachoendelea, waache watu walio karibu naye ndiyo wajulishwe!

Pole sana!
Kama taarifa hii inakukera si lazima ikufikie wewe unaependa isiwe ya kitaifa,achana nayo na ipotezee kabsa ikibid
 
Mwenyezi Mungu ashukuriwe kwa rehema zake kwa huyu hazina ya Taifa Lissu the Great. Tuombe.

Back
Top Bottom