we unajuaje huyu Mama anataka matabia kama haya yabaki siri ?
what if she is a liberated woman who felt so painfully and grotesquely violated na anataka huu ushenzi na ufidhuli wa wanaume uwe exposed na ukome ?
how do you know amesamehe na kusahau na kuchukulia ni poa tu, mume kafanya basi...
ukifa madhambi yako hayafutiki
legacy yako ikiandikwa ikasema alikuwa mjasiriamali wa mabaa na mashule na ulisomesha yatima itakuwa rekodi yako haijakamilika
makando kando yako lazima yatakumbukwa na yatatumika kuwanasihi wengine wasiwe na tabia hizo
ye mwenyewe hakuheshimu mke na watoto...
tunaweza kuwafukuza
nini kuwafokea
kidume kingekuwepo wasingethubutu na wanajua bi mkubwa dhaifu
anategemea wazungu mpaka kupiga picha za utalii kaita wazungu
nyumbani kwetu mimi tulikuwa tunapiga buku usiku chumbani… tunalala saa 7, 8, wakati wa mitihani ni mpaka liamba, taa zimewaka
hapo babu analalaje?
Okay, tuseme vitoto vilaza havisomi usiku. Wavulana watatu wanalala na babu yao halafu chumba cha tatu msichana wa kazi peke yake ? Is that fair...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.