TANESCO Butiama mtatutesa mpaka lini?

Dec 4, 2019
22
45
Ni wiki ya pili sasa hatuna umeme, transformer yenu iliharibika baada ya nyie kutoianyia maintenance kwa miaka.
Kila mkija mnazunguka zunguka na lori lenu mnaangalia transformer kisha mnaondoka.

Simu hampokei., na mkipokea mmekuwa waongo mno.. Hapa kuna taasisi zaidi ya tatu zinazotegemea umeme kupump maji, hivi tutaishi vipi bila maji?

Swala la nyie kuja na kuunganisha transformer ya karibu ikasambaza umeme mnashindwaje?

Mita zingine mmeweka juu ya nguzo na umeme ukiisha zinajilock hadi mje mpande juu ya nguzo ndo mzifungue. Mkiitwa makaa siku mbili ndo mje, mara ooh hakuna usafii MUNGU ANAWAONA

Ukitaka kuungiwa umeme ndo usiseme, mnataka mbebelezwe miezi miwili.
TANESCO KERO NA MATESO YAMEZIDI HAYAVUMIIKI
 
TANESCO

JF-Expert Member
Jul 12, 2014
3,565
2,000
Ni wiki ya pili sasa hatuna umeme, transformer yenu iliharibika baada ya nyie kutoianyia maintenance kwa miaka.
Kila mkija mnazunguka zunguka na lori lenu mnaangalia transformer kisha mnaondoka. Simu hampokei., na mkipokea mmekuwa waongo mno.. Hapa kuna taasisi zaidi ya tatu zinazotegemea umeme kupump maji, hivi tutaishi vipi bila maji?

Ahsante kwa taarifa tunaifanyia kazi tafadhali
 
Dead Man

JF-Expert Member
Jul 17, 2021
652
1,000

Bila shaka mleta uzi umepata mwongozo.

Maana nimekuitia wahusika
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
42,102
2,000
Ahsante kwa taarifa tunaifanyia kazi tafadhali
Porojo dot com, mimi niko Dar na nina TB namba ya tangu june kuja kuondowa nguzo iliyooza mpaka leo mmekalia porojo tu.

Nataka kufunguwa RB Polisi ili mvua zikianza ile nguzo ikaanguka kwa upepo mkali upelelezi wa kesi usilete shida, kuna watu watakwenda kuozea jela kwa kesi ya mauwaji.

Dawa yenu naijuwa na nimejipanga vizuri kuhakikisha nakomesha uhuni wenu.
 
TANESCO

JF-Expert Member
Jul 12, 2014
3,565
2,000
Porojo dot com, mimi niko Dar na nina TB namba ya tangu june kuja kuondowa nguzo iliyooza mpaka leo mmekalia porojo tu.

Nataka kufunguwa RB Polisi ili mvua zikianza ile nguzo ikaanguka kwa upepo mkali upelelezi wa kesi usilete shida, kuna watu watakwenda kuozea jela kwa kesi ya mauwaji.

Dawa yenu naijuwa na nimejipanga vizuri kuhakikisha nakomesha uhuni wenu.
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Namba ya taarifa

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
17,440
2,000
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Namba ya taarifa

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Hili shirika lisipo tafutiwa mpinzani wake hawata jirekebisha.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom