Recent content by Mwasiho

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Huyu kijana anakuwa mpuuzi sana kazini kwake.
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu anajiuza?

    Kitendo cha kumuuliza na yeye kutojibu,wanasaikolojia wanakwambia swali ulilohoji ndilo jibu sahihi!
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu hataki niendeshe gari alilonunua. Nakereka sana

    Komaa faza,kaza sanaaaaaa! Vuta chuma chako na umpuuze na ndingaye! Toa kabisa dalili za kuonekana unaitegemea ndinga yake ktk mishe zako! Tena kwa sasa mbona kuna huduma nyingi za usafiri kama UBER,TAXIFY etc. Kaa humo huku ukizichanga na kuvuta mchuma wako!
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kanisonya na mwanzo amesha anza kunionesha dharau

    Mmmmmh! Kunisonya!!! Bora unisonyee chumbani kwetu huko lakini mbele ya majirani zangu!!! HELL No.
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kanisonya na mwanzo amesha anza kunionesha dharau

    Well said, TUTAFUTE PESA TUU.
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kanisonya na mwanzo amesha anza kunionesha dharau

    Wana madawati yao ya kijinsia siku hizi,usije ukawaza kumbonda. Somo ni kwamba hili jaribu unalolipitia halijaja kwa bahati mbaya,unapitishwa katika magumu hayo ili uoneshwe kuwa mkono wako wa pili unaoutarajia kuwa nawe bega kwa bega ni wa namna gani. Viumbe hawa ni waigizaji wazuri tangia...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Sijakuelewa vizuri mdau,unataka kupewa tips za michoro au unataka michoro kutoka kwa wataalamu?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Huwa inashangaza sana,mtu anakupa kipimo cha umbali kwa kutumia muda... wanatoa akilini umbali kupimwa kwa mita au kilomita...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Naam,prefab houses zinapatikana hapa tanzania. Kuna makampuni yanafanya kazi hizo kwa sasa.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Kwa ukubwa huo wa kiwanja izo tofali elfu mbili kasoro haziwezi hata kumaliza upande mmoja,labda ukubaliane nami kwamba umekosea maandishi ktk uwasilishaji i.e badaya ya kuandika square meter ukaandika square kilometer. Pia natumai ulishapata fundi wa kukamilisha kazi hii na kama bado basi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Inakubidi ujue kwanza vipimo halisi vya jengo lako,angle ya mnyanyuo wa paa la nyumba yako,aina ya bati utakalopaulia nyumba. Baada ya hapo ndio unaweza kufanya mahesabu ya idadi ya bati na kiasi cha mbao zitakazohitajika kufanya kazi hiyo. Kama unaweza kuwa na michoro ya jengo lako au vipimo...
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sometimes love...

    Very very living truth, someone is in this deep shit with me. About to let her go,ain't gonna risk my future living with a worm.
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hi mechi vipi wadau

    Na game imeisha hivyo...
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hi mechi vipi wadau

    Game iko dakika ya 81 na matokeo ni 2-2 kwa sasa
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Naamini hilo,ilikuwa mpango ili itengenezwe game ya mtu 3 Sent from my SM-T555 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom