Recent content by Mwasandembo.r.

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tahadhari UKAWA.

    Umenena vema mkuu ,Umoja ni nguvu na ili kuusambaratisha mlima(ccm) lazima kila mwana UKAWA aikane nafsi yake mwenyewe na aje akiwa huru bila kufungamana na msimamo wa chama chake ili aje alete ukombozi katika jamii ya kitanzania inayokerwa na ufisadi,dhuruma na ukandamizwaji wa kifikra.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Rais tunayemtaka

    Sifa zote ulizotaja zinaenda Tundu A. Lissu
  3. M

    JamiiForums Tanzania IPTL saga: Siri Imevuja, Mwigulu na Zitto Kabwe Kaa la Moto... Ndio waliolipua!

    kama sijakuelewa vile, kafulila ana ushahidi tosha juu ya IPTL hao akina zito na mwigulu wanapaishwaje yapa. hujanishawishi bado Big up Kafulila.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mrema ampasha Mbowe: Sitaki uwaziri kivuli

    Trend yake inazidi kushuka kutoka kugombea Uraisi- Ubunge. sasa itakuwa Udiwani kwa mwaka 2015 akiwa na nguvu bado 2020 Uenyekiti wa mtaa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Warioba katika 'dakika 45' za ITV akihojiwa kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya...

    Mzee anabusara sana huyu na anaonyesha ni mzalendo hata tuzo ya juzi alistahili kabisa na serikali 3 zikipita anaweza hata kutunukiwa tuzo ya NOBERT. limekuwa jiwe kuu la pembe lililo kataliwa na waashi, ni mtazamo wangu tu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Anakula raha mbaya..

    hivi wangedondoka tungeenda kuwatibu India kwa kodi zetu au?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe amshushua Tundu Lissu...

    Leo nikiwa kijijini kwetu hapa Ipinda -kyela nimesikia kupitia kituo cha redio Ebony fm. kuhusu mchango wako juu ya rasimu ya katiba ukimlaumu T.lisu kuwa ni mtoto mdogo sana kwenye mambo ya sheria na kuwa amesoma mstari mmoja tu ndo kakomaa nao kukunukuu Tulivyo muelewa Lisu ijenga hoja nzito...
  8. M

    JamiiForums Tanzania "Endapo Wazanzibari watadai mamlaka kamili sitawapiga mabomu" Naamini Kikwete hatawapiga mabomu UKAW

    saa 2 zinatosha sana kuwa adabisha watu ambao ni static -maccm. kama ww ulivyo jibu mtihani yako wa form four Kwa masaa ma3 ilihali ulisoma miaka minne.
Back
Top Bottom