Huyu ndiye Rais tunayemtaka

Huyu ndiye Rais tunayemtaka

TEKNOLOJIA

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2014
Posts
4,305
Reaction score
2,564
Uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani unazidi kukaribia,Uvumi na simulizi za hapa pale juu ya nani atagombea nini umezidi kushika kasi.Miongoni mwa nafasi ambazo zinapaswa kupewa uzito wa aina yake ni nafasi ya Urais kwani ndiyo mahali ambapo maamuzi muhimu kwaajili ya mustakabali wa Taifa letu huwa yanafanyika.Katika nafasi hii ya Urais tunahitaji mtu mwenye sifa zifuatazo:
-Kijana mwenye afya njema
-Msomi aliyeelimika
-Mzalendo wa kweli kwa Nchi yake
-Anayewapenda Wananchi wanyonge
-Anayechukia rushwa na ufisadi
-Anayependa utawala wa sheria
-Mkweli
-Muwazi
-Jasiri
-Hana jazba
-Mwenye kufanya maamuzi magumu
-Mwenye kuifahamu historia ya nchi vizuri

Je ni nani anayeweza kuwa na sifa hizi?Tundu Antipasi Mughwai Lissu,Dr Wilbrod Peter Slaa,Edward Ngoyai Lowassa,Zitto Zubery Kabwe,Benard Membe,Samweli Sitta,January Makamba,Professor Ibrahim Haruna Lipumba au John Cheyo?
 
Kulikuwa hakuna haja ya kutaja majina ya watu na hapo ndipo mada ingekuwa nzuri.
 
sifa number 3, by default CCM wako disqualified.
 
umeniharibia mood, yaani unamuweka mropokaji tundu lissu hapo?? mara wanaopora wake za watu akina slaa?? kweli mmeichoka hii nchi
 
Stephen Masato Wassira atosha wengine wa nini?
 
Back
Top Bottom