ONGEZA;
Karume mkubwa na Mdogo zanzibar,
Nnauye Sr, Nnauye Junior,
Mwinyi Senior na Mwinyi Jr,
JK na Riz1,
JK na Hawa Ghasia,
List inaendelea...........
ili Document iwe valid sahihi ya mtoa document iwepo! Sasa mbona hakuna signature? Hizo ni propaganda tu hakuna bodi iliyokaa wala nini! SOLIDARITY FOREVER Drs!!!
Hakuna mtu kurudi hiyo J3!
Yeye ni mwenzetu so far tutamtibu! Tunakuwepo maeneo ya Hospitali na kumtibu staff mwenzetu yeyote au hata tusipokuwepo tunapigiwa simu na kutokea maeneo hayo!
Haya watz wote wakiumwa wanaenda huko au ndo WALANCHI wenye BILIONI 300 Uswizi? Ama kweli mwenye nacho huongezwa!!!!!!
Chenge alilijua hili ndo maana kale kKABILIONI 1 kule Visiwa vya Jersey ni VIJISENTI!!!
Hadi hapo mavumba yatakapoingia benki na vifaa kumwagwa mahospitalini ndo tunarudi kazini kwani tumechoka na ahadi zisizotekelezwa na muda waliopewa unatosha! LIWALO NA LIWE!!!!!!!
Serikali Dhaifu na Upuuzi wa CCM !!!
Mwache tu aiingizie serikali hasara ya mabilioni pale madaktari watakapomgalagaza mahakamani akijaribu kuwafukuza!!!
Kwa malipo gani serikali inayoyalipa?
Siku wakiamua hilo basi wahakikishe ma Dr wanalipwa kama Kenya au South Africa na si huu utumbo wanaolipwa sasa!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.