Katibu wa MAT Taifa aanza kupigiwa simu kama Dr. Ulimboka...

mmeshupalia serikali kana kwamba tayari without doubt imekuwa proved kwamba aliyefanya ufedhuli huu yupo bayana!!!!
Sipo upande wa kufata mkumbo! itakapothibitika kuwa ni serikali. .....tytasema yaliyopo moyoni, na itakapokuwa vinginevyo pia titasema yaliyopo moyoni na si kubwabwaja
 
fool some people for some time but not all the people all the time!
 
Watanzania msilalamike! Mliyataka wenyewe!! Acheni serikali ifanye kazi yake! Hiyo serikali mnayoilalamikia mliiweka madarakani wenyewe. Mkatanguliza ushabiki wa Yanga na Simba katika siasa bila kujali uhalisia wa mambo. Sasa tulieni mnyooshwe vizuri hadi hapo mtakapopata akili 2015.

upo sahihi mkuu, wanaponyolewa wanahitaji kuwa wavumilivu mpaka nywele zitakapoota hapo 2015 ndo wachague stairi nyingine ya kunyoa
 
Kumbe si DHAIFU peke ake ni MWENDAWAZIMU pia, nadhani kwa sasa hana tofauti na NDULI IDDY AMINI DADA, MOBUTU SESEKO NKUKU YA NZABANGA.
 
Hii si njia ya kutatua matatizo ya madaktari,bali kuongeza matatizo mara dufu,sitaki kuamini kuwa serikali ndio inafikia uwezo wake wa mwisho katika kufikili.Mungu atusaidie sana watanzania
 
Aisee! Hata mimi mwenyekiti wa alfu lela ulela nimepigiwa simu na watu wasioeleweka!
 
madaktari nawaomba msibishane na serikali,ni vyema mtulie,kwani madai yenu yameshasikika na hao wakubwa wameshapata ujumbe wenu.watauitika tuuu.chonde chonde
 
amani ya Tanzania itatoweka muda sio mrefu.

Serikali inakuja kukuchukuwa tu, haina haja ya kukupigia simu. Wacha uongo.

Nyie ndio wale mafataani, mnalala mkiamka mnakuja na ufataani wa kuifanya Serikali ionekane chombo kibaya sana.

Mbona siwaoni kuongelea wagonjwa wanaokufa kwa kukosa kuhudumiwa na hao madaktari? mbona hamuongeleai kuwa wamekiuka amri za mahakama? mbona hakuongeleei kuwa madai yao mengi yametimizwa? mbona hamuongelei kuwa wagonjwa wanateseka na kufa?

Mbona hamsemi huyo Ulimboka eti amepigiwa simu wakamalize mgomo usiku? wacheni ufataani.

Mnaleta ufataani eti kupigiana simu. Kila anaeleta mgomo wa kuwatibu wagonjwa wetu anastahili hukumu ya kifo.
 
Kuna taarifa kuwa katibu wa Medical Association of Tanganyika (MAT) ameanza kupigiwa simu na watu wasioeleweka kama ilivyomtokea Dr. Ulimboka.

Madaktari wameshapeana taarifa na wameahidi kumlinda kwa gharama yoyote. Hii inamaanisha ni vita dhahiri kati ya wahudumu wa afya na serikali.

Tuendelee kuona mwisho wa sakata hili tete!

GET WELL SOON DR STEPHEN ULIMBOKA!

Serikali inakuja kukuchukuwa tu, haina haja ya kukupigia simu. Wacha uongo.

Nyie ndio wale mafataani, mnalala mkiamka mnakuja na ufataani wa kuifanya Serikali ionekane chombo kibaya sana.

Mbona siwaoni kuongelea wagonjwa wanaokufa kwa kukosa kuhudumiwa na hao madaktari? mbona hamuongeleai kuwa wamekiuka amri za mahakama? mbona hakuongeleei kuwa madai yao mengi yametimizwa? mbona hamuongelei kuwa wagonjwa wanateseka na kufa?

Mbona hamsemi huyo Ulimboka eti amepigiwa simu wakamalize mgomo usiku? wacheni ufataani.

Mnaleta ufataani eti kupigiana simu. Kila anaeleta mgomo wa kuwatibu wagonjwa wetu anastahili hukumu ya kifo.
 
madaktari nawaomba msibishane na serikali,ni vyema mtulie,kwani madai yenu yameshasikika na hao wakubwa wameshapata ujumbe wenu.watauitika tuuu.chonde chonde
Hadi hapo mavumba yatakapoingia benki na vifaa kumwagwa mahospitalini ndo tunarudi kazini kwani tumechoka na ahadi zisizotekelezwa na muda waliopewa unatosha! LIWALO NA LIWE!!!!!!!
 
mmeshupalia serikali kana kwamba tayari without doubt imekuwa proved kwamba aliyefanya ufedhuli huu yupo bayana!!!!
Sipo upande wa kufata mkumbo! itakapothibitika kuwa ni serikali. .....tytasema yaliyopo moyoni, na itakapokuwa vinginevyo pia titasema yaliyopo moyoni na si kubwabwaja

kwa akili yako unasubiri serikali ikuthibitishie wao ndio wahusika..!!!! kweli asiyejua maana haambiwi maana..utasubiri sana uthibitisho mdogo wangu..
 
Hili la Madaktari litakuwa fundisho kwa Taifa hili dhaifu la jk!

Haikubaliki kamwe!
 
Serikali inakuja kukuchukuwa tu, haina haja ya kukupigia simu. Wacha uongo.

Nyie ndio wale mafataani, mnalala mkiamka mnakuja na ufataani wa kuifanya Serikali ionekane chombo kibaya sana.

Mbona siwaoni kuongelea wagonjwa wanaokufa kwa kukosa kuhudumiwa na hao madaktari? mbona hamuongeleai kuwa wamekiuka amri za mahakama? mbona hakuongeleei kuwa madai yao mengi yametimizwa? mbona hamuongelei kuwa wagonjwa wanateseka na kufa?

Mbona hamsemi huyo Ulimboka eti amepigiwa simu wakamalize mgomo usiku? wacheni ufataani.

Mnaleta ufataani eti kupigiana simu. Kila anaeleta mgomo wa kuwatibu wagonjwa wetu anastahili hukumu ya kifo.

Ni wewe uliepata kipigo pale Muhimbili? Ulitoka nduki ukikatiza vichochoro kama nguruwe aliye fumaniwa kwenye shamba la mihogo! Nyie ndo mnao haribu nchi hii. Kitu cha kusolve nusu saa mna by-time miaka!
 
Serikali inakuja kukuchukuwa tu, haina haja ya kukupigia simu. Wacha uongo.

Nyie ndio wale mafataani, mnalala mkiamka mnakuja na ufataani wa kuifanya Serikali ionekane chombo kibaya sana.

Mbona siwaoni kuongelea wagonjwa wanaokufa kwa kukosa kuhudumiwa na hao madaktari? mbona hamuongeleai kuwa wamekiuka amri za mahakama? mbona hakuongeleei kuwa madai yao mengi yametimizwa? mbona hamuongelei kuwa wagonjwa wanateseka na kufa?

Mbona hamsemi huyo Ulimboka eti amepigiwa simu wakamalize mgomo usiku? wacheni ufataani.

Mnaleta ufataani eti kupigiana simu. Kila anaeleta mgomo wa kuwatibu wagonjwa wetu anastahili hukumu ya kifo.
Ama hakika kila kitu kiwapo katika uso wa dunia lazima kuwe na chanzo na si kitu kingine tofauti na jinsi ilivyo, hivyo ni sahihi hawa watu kuonja uchungu na utamu wa mgomo wao
 
Huyo jama anajitafutia umaarufu, kama unapigiwa simu za vitisho si unaenda Polisi unachukua RB mapema? Mbona sijaliona hilo kwenye hii habari?
 
Back
Top Bottom