Yanayofanywa na mh. Rais sio madogo, sisi wananchi (ambao sio wanasiasa) tuna mpa baraka zoote aendelee amalize miaka yake kwa amani. Matunda mtakuja kuyaona baadae sana na hizi juhudi ndio zitaleta kazi,maendeleo,na maisha bora kwa watanzania woote. Nyie wachumia tumbo woote mtamuunga mkono...
Upo sahihi mkuu, ipo namna ya siasa maji taka kwenye mitandao siku hizi,social medias hazitumiki kuelimisha na kuburudisha bali kutupumbaza na kupoint fingers kwa wanasiasa,lengo ni tuone serikali yetu ni mbaya
Uchunguzi si bado unaendelea,ukweli utajulikana tu na siku baada ya siku tunaanza kupata ukweli na huenda pia ni chanzo cha baadhi ya wanachama kukihama chama ila ukweli utakuja tu
Makamanda wanavutiwa na uchapaji kazi wa mh. Raisi na kwa kiasi kikubwa hawana sera tena, inabidi wahame tu. Na kwa namna moja au nyingine, waliohama woote vichwa vyao ni vizuri sana kuliko walio salia,sijui hili naliona peke yangu?
Wote kwa sasa wameshapoteza mvuto kisisasa, itakapo fika 2020 sijui kama watakuwa na sera za kuongea katika majukwaa ya kuomba kura, i think that is the worst combination kuliko hata UKAWA.
Tetesi hizi hazina ukweli wowote,haina uthibitisho na maelezo ya kutosha, ni kama imetungwa kwa madhumini fulani hivi,infact kwa nionavyo ona mimi amepewa promotion ya kuja kuwa karibu na Raisi kumtembelea Tundu haiwezi kuwa chanzo cha kuteuliwa kufanya kazi Ikulu
kwa mtu mwenye kiapo hawezi andika vitu vya ajabu kama hivi, siasa imefika huku kwa sasa mpaka mtu baki anaweza jifanya yupo ndani ya moja ya vyombo vya ulinzi na kupotosha uma kwamba kuna matatizo ndani ya vyombo hivyo. Tunapoelekea sipo kama tutaendelea kuendekeza watu wa ajabu kama hawa
kuna watu wanjaribu kipotosha hii mada,ameandika vizuri sana mtoa maada,mwl Nyerere alitufanya tuwe wamoja sana kwenye hili taifa na ideology zake kwakweli zilifanya tuwe wamoja,siku hizi CHADEMA hampendi CCM na huwenda huku kuto kupendana kwetu ni kutokana na kukosa ideology kama zile,ndio...
mbona maneno yako yamekaa kivurugu vurugu? yaani ni kama unatishia kwamba amani itapotea siku chadema ikifutwa? huwezi andika kitu cha maana kidogo zaidi ya hiki ulichoandika?
Kuna picha zilikuwa zinasambazwa sijui ni kwa nia gani.
Baada ya taarifa ya Morogoro kuwa kuna diwani amekatwa mapanga, zilianza picha feki kuna mtu alikuwa amekatwakatwa na amegeuza mgongo na amevaa boxa nyekundu,watu wakaamini ni picha ya diwani Morogoro.
Then zikatoka picha nyingine...
Kwa kipindi cha miaka miwili na ushee tangu serikali ya awamu ya tano iingie madarakani, mambo mengi yamekuwa yakijitokeza na kuulegeza upinzani hapa nchini. Baadhi ya mambo hayo ni pamoja na yanayotokea kwa upande wa serikali, lakini pia yapo yanayotokea upande wa upinzani wenyewe. Tangu aingie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.