Kuna picha zilikuwa zinasambazwa sijui ni kwa nia gani.
Baada ya taarifa ya Morogoro kuwa kuna diwani amekatwa mapanga, zilianza picha feki kuna mtu alikuwa amekatwakatwa na amegeuza mgongo na amevaa boxa nyekundu,watu wakaamini ni picha ya diwani Morogoro.
Then zikatoka picha nyingine ambazo ndio kwa sasa zinamaanika ndizo za ukweli...
Kuna upotoshaji haswa kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa, Siasa nadhani zimefika kwenye hatamu yake, mitandao ya kijamii inatumika sana kuvuruga watu kwa mgongo wa siasa na watu wengi kweli wanapotoka na kupotoshwa kwenye hizi Facebook zetu na insta na kadhalika
Serikali nadhani inabidi iliangalie hili kwa macho yote mawili au hata matatu, hii itakuja kuleta shida kwenye siku za mbeleni.
Always nina msemo wangu wa "in my opinion"