Kuna mpasuko mkubwa kwa wale watu wetu tunaowategemea

Mkuu wetu anakula kiyoyozi 24/7 na kutisha tisha watanzania juu ya 26 April.
Anatisha watu kwa kiburi Cha walinda nchi(Jw,polisi na Magereza), mkuu anasahau haraka.
Mkuu hajui wale watu kwa Sasa wamegawanyika.

Mkuu umestaafisha watu wa huko na mpaka leo hujawalipa pensions zao, hujawalipa madeni yao ilihali umewastaafisha ghafla.
Mkuu amesahau kwamba kuna watu walipata vyeo tangu mwaka juzi na mpaka leo hajawalipa stahiki zao kwa kisingizio Cha uhakiki.

Mkuu amehamishia mapenzi yake kwa Jw amesahau kwamba Jw hawataweza kupambana na polisi wala Magereza na ikifikia huko ujue wananchi watakufa Kama kuku.

Mkuu jiangalie, hata huko Jw wananong'ona unazingua mkuu, usije kusema hukuambiwa mapema.

Bila sisi wewe sio kitu we endelea kupiga makelele jukwaani, siku ukigeuka nyuma huoni mtu alafu unatazama mbele unaona watu wamebeba marungu na mapanga usijekulamu kwamba hatukusema, nafahamu wewe zaidi ya maneno huwezi kurusha wala kuvumilia ngumi moja.

Jw watu wanaenda kozi Kama kawaida ila polisi kila kitu kimesimama, hata Magereza pia kumesimama.

Mkuu umejiandaaje?

Watu wana madai kibao, kuna vijana wameajiriwa huko Magereza, polisi na jw bado unawalipa mishahara ya form Four kwa ubabe wako ilihali wao ni graduates, mkuu jiangalie
Sio kwamba wao ni wajinga hapana, wanakuvumilia ila ukumbuke bunduki wanazo na mabomu wanayo, unafanya dhuruma kwa kuongea kejeli jukwaani.

Watu wanatii amri kwa sababu ya viapo, tunafahamu top officials wa jw, polis na Magereza unawaweka vizuri ili waendelee kukupa support ya kuamrisha Askari walioko chini yao, amri ni maneno Kama maneno mengine tu.

Usijekulaumu wakati ukianza kutafuta pa kuficha uso mkuu, sisi tunahitaji maisha mazuri Kama walivyo raia wengine, tunatukanwa sana huku mitandaoni, wewe umeshindwa kulipa fadhila.
Una uhakika kwamba unaweza kumpiga mtu hata konzi bila sisi? Au unaishia kupiga mikwara tu?

Ok wiki hii kuna vijana wanaanza Cadet hapa Monduli, na vijana wengine wapo CCP wanapiga kozi ya upelelezi, mara baada ya kozi hizi wewe unajifanya hutaki kuwalipa Kama ambavyo hujaanza kuwalipa waliomaliza kozi 2016 na 2017 na kuna wengine wana ranks za Second leutenant, Ast. Insp, SACAP, Ins, CPL, Prvt,PC wengi ni graduates umegoma kuwalipa mishahara yao na rank zao hulipi, ivi wewe unajisahau sio?? Hiyo 26 April tukiamua kutulia utahimili shari hata la mvuta bangi?

Hata wabishi wenzio ambao mwisho wa siku walitafuta nchi za kujificha walianza Kama wewe hivi hivi.

Waliokaribu nawewe wakwambie usijekulialia tukiamua.
Hhhhhh
 
Hata JWTZ wanalalamika! Nako vyuma vimekaza! Hebu soma hii : source: Fb.
WARAKA KWA MAOFISA, ASKARI WOTE WA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA(JWTZ)
UTANGULIZI
Waraka huu ni maalum kwa askari na maofisa wote wa jeshi la wananchi wa Tanzania
Dhumuni la waraka huu ni kuwakumbusha majukumu yao na wajibu wao katika kuhakikisha taifa letu linabaki salama,pia kulinda heshima ya jeshi letu ndani na nnje ya nnchi yetu
Waraka huu umeandaliwa kwa ushirikiano kati ya wawakilishi wa maofisa na wapiganaji wa jwtz
Si kawaida kwa jeshi kutoa waraka lakini inapobidi haiepukiki,kwa ufupi jeshi letu kwa sasa limepoteza morali ya kufanya kazi kama ilivyo kuwa awali,tangia tupate Amir jeshi mpya na mkuu wa majeshi mpya
Hali ya uitendaji imedorora sana askari na maofisa wamepoteza kabisa hamasa ya kufanya kazi
TUnajua wakuu watapinga waraka huu,na sio ajabu kwa kuwa wao wapo ofisini hawajui shida tunazopata ss wapiganaji lakini ss ndio walinzi wataifa hili hatuna wa kututea tumeamua kuchukua hatua wenyewe.
Lengo sio kuiondoa serikali (rais) madarakani lakini tunata serikali itambue na kushughulikia kero zetu
Mambo ambayo tumejadili na kufikia maadhimio katika kikao chetu ni:-
1,MASLAHI YA WANAJESHI
Tangia serikali ya awamu ya tano iingie madarakani hakuna ongezeko lolote la mishahara wala posho kwa askari na maofisa wa jeshi letu,ni takribani ni miaka 2 hakuna ongezeko la mshahara
Raisi amekuwa akiahidi kuwa atatuboreshea maslahi lakini hakuna kilichofanyika mpaka sasa,maduka ya jeshi ambayo tulikuwa tunanunua bidhaa kwa bei nafuu yamefungwa na tuliahidiwa kulipwa hela hizo kwenye mshahara lakini tumelipwa mara mbili lakini na katika malipo ya mwezi wa sita tumekatwa shilingi 100000 bila kuambiwa sababu za kukatwa posho zetu,tuna sikia tetese posho zetu zimeenda kulipia umeme,

2.SARE ZA JESHI NA VITENDEA KAZI
Kwa kweli suala la upatikanaji wa sare za jeshi kwa askari na maafisa wa jeshi letu ni mgumu sana
Inasikitisha askari ana vaa kombati ambayo imepauka kwa kweli hii ni aibu kwa askari na jeshi letu kwa ujumla,kipindi cha nyuma ilikuwa ni kawaida kwa askari kupata mgao wa sare mara mbili kwa mwaka lakini kwa sasa hakuna mgao kabisa,ni jukumu la jeshi kuhakikisha askari wake wanapata sare na vifaa vya kufanyia kazi,tunapenda kumpongeza amir jeshi mstaafu afande kikwete na CDF mstaafu afande Mwamnyange kwa kujitahidi kununua vifaa mbali mbali kwa ajili ya jeshi letu.
Mwaka huu kuna kituko ambacho hakija wahi kutokea katika uhai wa jeshi yaani vijana wa nao jiunga na jeshi la kujenga taifa (jkt) waliarifiwa kujinunulia bukta(pit short) za kufanyia kozi za kijeshi wakati kawaida huwa zinatolewa na jeshi ,vijana wamefanya kozi bila kuvaa buti(viatu nigumu)
Kwa kweli siamini kama serikali ya awamu hii inajali jeshi letu haiwezekanio serikali ishindwe kuwagaia vijana vifaa vya kufanyia mafunzo ya kijeshi badala yake wajinunulie wenyewe
3:MUDA WA KUFANYAKAZI
Hivi karibuni kwenye vikosi vyote vya jkt na jwtz kuna order imetolewa ya kuongeza masaa ya kufanyakazi yaani kuanzia saa 1:30 hadi 12:00 jioni
Tunataka tumkumbushe amir jeshi pamoja na serikali yake kuwa kuwa mwanajeshi sio tiketi ya kuitenga familia yako,tuhitaji muda wa kukaa na watoto wetu ili wapate malezi yetu,pia kutokana na mishahara midogo inatubidi tukitoka kazi tujishughulishe na miradi midogomidogo yakutuongezea kipato,sasa hili swala la kuongeza muda wa kazi litazidi kuteweka mbali na familia zetu na pia kuturudisha nyuma kimaendeleo
4:KAULI ZA AMIR JESHI MKUU
Tunasikitishwa sana na kauli ambazo amekuwa akizitoa amir jeshi mkuu kuhusu jeshi letu na wanajeshi wetu,tunamkumbusha afande magufuli kuwa jeshi haliendeshwi kisiasa,amekuwa akitoa kauli ambazo zina lidhalilisha jeshi letu,haiwezekani rais unamsimamisha mwanajeshi mbele ya hadhara kijubu hoja za kisiasa halafu unatoa maagizo kwa jeshi na wananchi wanashangilia hii ni kulidhalilisha jeshi,
Tuna mifano mingi sana ya kauli mbaya kwa jeshi ambazo zimetolewa na Amir jeshi mkuu
Mfano wa kauli hizo ni
(i) .kuagiza tanesko kukata umeme hata kama ni kwenye kambi ya jeshi,hii kauli ni hatari kwa usalama wa taifa,tanesko nao wamekuwa wakitumia kibwagizo hicho kwenye matangazo yao,hii ni kulidhalilisha jeshi inafanya hata mataifa ya jirani yanajua jeshi letu lina daiwa bili ya umeme, hebu tumuulize afande magufuli umeme ukizimwa kwenye kambi zote za jeshi wewe utakuwa salama?
(ii) Kunyang’anya eneo la jkt mgambo na kuwapa wananchi,sisi kama wanajeshi hatupingi kitendo cha rais kulichukua eneo hilo na kuwakabidhi wananchi but tunacho pinga ni staili iliyo tumia rais,kitendo cha kumsimamisha mkuu wa kikosi na kumuuliza maswali mbele ya kadamnasi na kutoa agizo la kuwanyang’anya eneo hilo,kwa kweli hiki kitendo hakiku tufurahisha kabisa
(iii) Suala la maji kwenye kikosi cha jeshi wilaya ya ngara,mkurugenzi wa wilaya ya ngara alisimamishwa azungumzie suala la maji akagusia suala la maji kwenye kituo cha jeshi,rais akamwambie asijipendekeze kwa jeshi ,kauli ya rais nikama jeshi alistahili kupata maji
Tuna rais ambae hajui umuhimu wa jeshi ?
UONGOZI WA JESHI (CDF)
Amir jeshi mkuu alipo ingia madarakani alimuongezea afande Mwamnyange muda wa utumishi jeshini na endelea kuwa mkuu wa majeshi,kwa kweli kitendo hicho kilifurahiwa na askari na maofisa wa jeshi letu ni kutokana na mapenzi ya dhati kwa Afande mwamnyange
Afande mwamnyange alikuwa ana mapenzi ya dhati kwa askari na wapiganaji wa jeshi letu
Lakini baada ya kuteuliwa kwa CDF Mabeyo kwakweli hali imebadilika sana morali ya kazi imeshuka kabisa CDF mabeyo hana mapenzi ya dhati wala hawajali askari wake tangia alivyo kuwa mnadhimu
Amekuwa akipinga maslahi ya askari na wapiganaji wa jeshi kwa kweli hafai kuwa mkuu wa majeshi ,tofauti na mtangulizi wake.
Tunajua rais ndio mwenye mamlaka ya kumchagua CDF lakini ss kama wapiganaji hatutampa ushirikiano kabisa kama hatabadilisha mtazamo wake juu ya asksri wa vyeo chini nakati
Inawezekana rais amemchagua kutokana na kuwa ni msukuma mwenzake lakini Amir jeshi mkuu lazima atambue wanajeshi hatuko tayari kuongozwa na CDF asiye jail maslahi yetu

6:KUANDIKISHA WANAJESHI WAPYA
Miaka hii ya karibuni kuna idadi kubwa ya wapiganaji na maofisa ambao wamestaafu lakini cha kushanga hakuna askari wapya ambao wameandikishwa kujiunga na jeshi,hii ni hatari kwa taifa kuna vijana ambao wamemaliza mafunzo ya jkt wana miaka takribani wako kambini lakini serikali imeshindwa kuwapa ajira,tunataka serikali iangalia ihakikishe ina andikisha vijana wapya ili kuongeza idada ya askari wa jeshi letu.
7:HUDUMA ZA MATIBABU
Suala la matibabu kwa wanajeshi ni changamoto kubwa sana,jeshi linategemea hospitali ya jeshi lugalo ambayo haina vifaa kabisa kuna vipimo vya kawaida lakini hakuna kwenye hospital ya jeshi
Mwanajeshi akiugua lazima aende makao makuu ya jeshi kuchukua barua ya kwenda kutibiwa muhimbili kwa kweli wanajeshi wanasumbuka sana kwenye suala la matibabu,tunaitaka jeshi lijiunge na mfuko wa bima ya afya ili tupate fursa ya kutibiwa sehemu zenye vifaa na huduma bora

HITIMISHO
Waraka huu uwe chachu ya vuguvugu ya kuadai haki zetu ss walinzi wa taifa hili,tukumbuke kunamiasha baada ya kustaafu jeshi,tupambane kudai haki zetu mapema.kuna wenzetu ambao wamestaafu wanasumbuliwa kupata pensheni zao na wengine kupewa pension ndogo sana
Tunawataka wanajeshi wote kuwa kitu kimoja katika kudai haki zetu,tuna stahili kuishi maisha mazuri kama raia wengine.
Sisi ndio walinzi wa nnchii hii tuna paswa kuthaminiwa kama tulivyo kuwa tunathaminiwa na Afande kikwete na Afande Mwamnyange
Tunaitaka serikali itatue changamoto tulizo zitaja hapo juu kabla mambo ya hayaja haribika.
TUNA MTAKA AMIR JESHI MKUU ATAMBUE KUWA JESHI NDIO WANAO LINDA USALAMA WAKE NA WA NNCHI KWA UJUMLA
KAMA WANA JESHI WETU WALI JARIBU KUASI ENZI ZA NYERERE NA SS TUNAWEZA KUFANYA HIVYO INAPO BIDI

KAMATI YA KUDAI HAKI ZA WANAJESHI

MAANDAMANO 26/4 HAYANA NAMNA KUEPUKIKA , NI LAZIMAAA
 
Simple but "meaning full"...lets build ths country together...tufate sheria na taratibu...otherwise ni aman ya "kuzuga"..
 
naona k

Naona kabisa baba jesca nchi inamshinda sasa sijui tunaenda wapiii
 
Kwa namna ulivyoandika, inaonekana kabisa huyu wewe ni askari polisi.
Tatizo lenu mkishapewa kakitu kadogo mnajisahau. Kumbuka wakati wa uchaguzi mliongezewa laki 3 kwenye ration na mkapiga sana watu mkidhani itaendelea. Msijisahau ndugu zetu. Ninyi ndio mnawapa kiburi wanasiasa kufanya haya wanayofanya.
 
Mkuu wetu anakula kiyoyozi 24/7 na kutisha tisha watanzania juu ya 26 April.
Anatisha watu kwa kiburi Cha walinda nchi(Jw,polisi na Magereza), mkuu anasahau haraka.
Mkuu hajui wale watu kwa Sasa wamegawanyika.

Mkuu umestaafisha watu wa huko na mpaka leo hujawalipa pensions zao, hujawalipa madeni yao ilihali umewastaafisha ghafla.
Mkuu amesahau kwamba kuna watu walipata vyeo tangu mwaka juzi na mpaka leo hajawalipa stahiki zao kwa kisingizio Cha uhakiki.

Mkuu amehamishia mapenzi yake kwa Jw amesahau kwamba Jw hawataweza kupambana na polisi wala Magereza na ikifikia huko ujue wananchi watakufa Kama kuku.

Mkuu jiangalie, hata huko Jw wananong'ona unazingua mkuu, usije kusema hukuambiwa mapema.

Bila sisi wewe sio kitu we endelea kupiga makelele jukwaani, siku ukigeuka nyuma huoni mtu alafu unatazama mbele unaona watu wamebeba marungu na mapanga usijekulamu kwamba hatukusema, nafahamu wewe zaidi ya maneno huwezi kurusha wala kuvumilia ngumi moja.

Jw watu wanaenda kozi Kama kawaida ila polisi kila kitu kimesimama, hata Magereza pia kumesimama.

Mkuu umejiandaaje?

Watu wana madai kibao, kuna vijana wameajiriwa huko Magereza, polisi na jw bado unawalipa mishahara ya form Four kwa ubabe wako ilihali wao ni graduates, mkuu jiangalie
Sio kwamba wao ni wajinga hapana, wanakuvumilia ila ukumbuke bunduki wanazo na mabomu wanayo, unafanya dhuruma kwa kuongea kejeli jukwaani.

Watu wanatii amri kwa sababu ya viapo, tunafahamu top officials wa jw, polis na Magereza unawaweka vizuri ili waendelee kukupa support ya kuamrisha Askari walioko chini yao, amri ni maneno Kama maneno mengine tu.

Usijekulaumu wakati ukianza kutafuta pa kuficha uso mkuu, sisi tunahitaji maisha mazuri Kama walivyo raia wengine, tunatukanwa sana huku mitandaoni, wewe umeshindwa kulipa fadhila.
Una uhakika kwamba unaweza kumpiga mtu hata konzi bila sisi? Au unaishia kupiga mikwara tu?

Ok wiki hii kuna vijana wanaanza Cadet hapa Monduli, na vijana wengine wapo CCP wanapiga kozi ya upelelezi, mara baada ya kozi hizi wewe unajifanya hutaki kuwalipa Kama ambavyo hujaanza kuwalipa waliomaliza kozi 2016 na 2017 na kuna wengine wana ranks za Second leutenant, Ast. Insp, SACAP, Ins, CPL, Prvt,PC wengi ni graduates umegoma kuwalipa mishahara yao na rank zao hulipi, ivi wewe unajisahau sio?? Hiyo 26 April tukiamua kutulia utahimili shari hata la mvuta bangi?

Hata wabishi wenzio ambao mwisho wa siku walitafuta nchi za kujificha walianza Kama wewe hivi hivi.

Waliokaribu nawewe wakwambie usijekulialia tukiamua.
Haya maneno ni yamtu aliyuekula kiapo sasa sie Malofa tisio kuwa hata na kiapo cha mzazi likinuka itakuaje. Mateso yakizidi sana tutakuwa manunda tu siku ikifika.
 
Viapo havinunui unga dukani,nao ni sehemu ya jamii.Kiapo na njaa wapi na wapi.Kiapo peleka marekani.
acheni siasa za upotoshaji,haya maneno ya ajabuajabu humu mitandaoni hayatasaidia kujenga,mnachofanya ni kubomoa kwa manufaa ya hao wanaowatuma...
 
Hayo madai WOTE tunayo. Ya kwenu hayawi UNIQUE eti kwa sababu mnashika silaha na mpo in charge of ulinzi na usalama. Yakilipwa TULIPWE wote, maana kama ni NGUVU YA UMMA hata vifaru na magwanda huwa haviiwezi. Sote ni WATUMISHI WA UMMA na sote tuna viapo vya kuitumikia serikali hii hii inayopitia changamoto kibao so hamna sababu hata bora ya kujiona bora kuliko wengine, tena si bora hata nyinyi mna viposho vya chakula. Mwalimu na nesi waseme nini? Kazi yao ni ya kipuuzi na haina maana kwa ustawi wa taifa? Hiyo kazi mnayofanya nyinyi mlilazimishwa na kushikiwa bunduki kuwa mfanye hadi leo mjione kuwa mnastahiki zaidi ya wengine? Acha uboya bwana, wote hizi kazi TULIOMBA tena kwa ushindani mkubwa kabisa na wengine walipita njia za mkato. So tunapodai maslahi kwa WATUMISHI WA UMMA ikumbukwe matumizi na mahitaji ni yale yale kwa WOTE. Mwanajeshi hali dhahabu, anagonga ugali kama karani tu. Kusema kwamba eti mlipwe stahiki vyema ili mtukandamize vizuri au ili rais atawale kwa amani ni UPOTOFU. Unafikiri mwanachi akienda hospitali asimkute daktari, mahakamani asikute hakimu huyo rais atatawala hata kama kuna askari? Na kama unadhani kuwa ni lazima kazi ufanye wewe acha uone kama atakosekana mwingine.
 
Mkuu wetu anakula kiyoyozi 24/7 na kutisha tisha watanzania juu ya 26 April.
Anatisha watu kwa kiburi Cha walinda nchi(Jw,polisi na Magereza), mkuu anasahau haraka.
Mkuu hajui wale watu kwa Sasa wamegawanyika.

Mkuu umestaafisha watu wa huko na mpaka leo hujawalipa pensions zao, hujawalipa madeni yao ilihali umewastaafisha ghafla.
Mkuu amesahau kwamba kuna watu walipata vyeo tangu mwaka juzi na mpaka leo hajawalipa stahiki zao kwa kisingizio Cha uhakiki.

Mkuu amehamishia mapenzi yake kwa Jw amesahau kwamba Jw hawataweza kupambana na polisi wala Magereza na ikifikia huko ujue wananchi watakufa Kama kuku.

Mkuu jiangalie, hata huko Jw wananong'ona unazingua mkuu, usije kusema hukuambiwa mapema.

Bila sisi wewe sio kitu we endelea kupiga makelele jukwaani, siku ukigeuka nyuma huoni mtu alafu unatazama mbele unaona watu wamebeba marungu na mapanga usijekulamu kwamba hatukusema, nafahamu wewe zaidi ya maneno huwezi kurusha wala kuvumilia ngumi moja.

Jw watu wanaenda kozi Kama kawaida ila polisi kila kitu kimesimama, hata Magereza pia kumesimama.

Mkuu umejiandaaje?

Watu wana madai kibao, kuna vijana wameajiriwa huko Magereza, polisi na jw bado unawalipa mishahara ya form Four kwa ubabe wako ilihali wao ni graduates, mkuu jiangalie
Sio kwamba wao ni wajinga hapana, wanakuvumilia ila ukumbuke bunduki wanazo na mabomu wanayo, unafanya dhuruma kwa kuongea kejeli jukwaani.

Watu wanatii amri kwa sababu ya viapo, tunafahamu top officials wa jw, polis na Magereza unawaweka vizuri ili waendelee kukupa support ya kuamrisha Askari walioko chini yao, amri ni maneno Kama maneno mengine tu.

Usijekulaumu wakati ukianza kutafuta pa kuficha uso mkuu, sisi tunahitaji maisha mazuri Kama walivyo raia wengine, tunatukanwa sana huku mitandaoni, wewe umeshindwa kulipa fadhila.
Una uhakika kwamba unaweza kumpiga mtu hata konzi bila sisi? Au unaishia kupiga mikwara tu?

Ok wiki hii kuna vijana wanaanza Cadet hapa Monduli, na vijana wengine wapo CCP wanapiga kozi ya upelelezi, mara baada ya kozi hizi wewe unajifanya hutaki kuwalipa Kama ambavyo hujaanza kuwalipa waliomaliza kozi 2016 na 2017 na kuna wengine wana ranks za Second leutenant, Ast. Insp, SACAP, Ins, CPL, Prvt,PC wengi ni graduates umegoma kuwalipa mishahara yao na rank zao hulipi, ivi wewe unajisahau sio?? Hiyo 26 April tukiamua kutulia utahimili shari hata la mvuta bangi?

Hata wabishi wenzio ambao mwisho wa siku walitafuta nchi za kujificha walianza Kama wewe hivi hivi.

Waliokaribu nawewe wakwambie usijekulialia tukiamua.
Sikio la kufa halisikii dawa ...nmependa kwa kua umekua mkwel ukaacha unafki wa watu weng wanao sema mambo ni mazur na ajira zoo za kutosha na biashara zmeongezeka nyingi sana ...watu wengi waliopo karbu na hawamwambii na kumshauri vizur ...hasa uongeaji wake wa kibabe
 
Hta kama huna Mshahara, Viatu, Nguo, Chupi sijui nini ukipokea amri unatii yule ni Bwana Mkubwa wenu!
 
Askari hagomi,ana asi.

Polisi akigoma anabadilika rangi muda huo huo na kuwa jambazi,so kama yuko bank sjui itakuwaje.

Bahati nzuri ni ngumu kutokea.
Hahahaaaaa,,,,,,,sio ngumu sana ni suala jepesi na la muda
 
Mkuu wetu anakula kiyoyozi 24/7 na kutisha tisha watanzania juu ya 26 April.
Anatisha watu kwa kiburi Cha walinda nchi(Jw,polisi na Magereza), mkuu anasahau haraka.
Mkuu hajui wale watu kwa Sasa wamegawanyika.

Mkuu umestaafisha watu wa huko na mpaka leo hujawalipa pensions zao, hujawalipa madeni yao ilihali umewastaafisha ghafla.
Mkuu amesahau kwamba kuna watu walipata vyeo tangu mwaka juzi na mpaka leo hajawalipa stahiki zao kwa kisingizio Cha uhakiki.

Mkuu amehamishia mapenzi yake kwa Jw amesahau kwamba Jw hawataweza kupambana na polisi wala Magereza na ikifikia huko ujue wananchi watakufa Kama kuku.

Mkuu jiangalie, hata huko Jw wananong'ona unazingua mkuu, usije kusema hukuambiwa mapema.

Bila sisi wewe sio kitu we endelea kupiga makelele jukwaani, siku ukigeuka nyuma huoni mtu alafu unatazama mbele unaona watu wamebeba marungu na mapanga usijekulamu kwamba hatukusema, nafahamu wewe zaidi ya maneno huwezi kurusha wala kuvumilia ngumi moja.

Jw watu wanaenda kozi Kama kawaida ila polisi kila kitu kimesimama, hata Magereza pia kumesimama.

Mkuu umejiandaaje?

Watu wana madai kibao, kuna vijana wameajiriwa huko Magereza, polisi na jw bado unawalipa mishahara ya form Four kwa ubabe wako ilihali wao ni graduates, mkuu jiangalie
Sio kwamba wao ni wajinga hapana, wanakuvumilia ila ukumbuke bunduki wanazo na mabomu wanayo, unafanya dhuruma kwa kuongea kejeli jukwaani.

Watu wanatii amri kwa sababu ya viapo, tunafahamu top officials wa jw, polis na Magereza unawaweka vizuri ili waendelee kukupa support ya kuamrisha Askari walioko chini yao, amri ni maneno Kama maneno mengine tu.

Usijekulaumu wakati ukianza kutafuta pa kuficha uso mkuu, sisi tunahitaji maisha mazuri Kama walivyo raia wengine, tunatukanwa sana huku mitandaoni, wewe umeshindwa kulipa fadhila.
Una uhakika kwamba unaweza kumpiga mtu hata konzi bila sisi? Au unaishia kupiga mikwara tu?

Ok wiki hii kuna vijana wanaanza Cadet hapa Monduli, na vijana wengine wapo CCP wanapiga kozi ya upelelezi, mara baada ya kozi hizi wewe unajifanya hutaki kuwalipa Kama ambavyo hujaanza kuwalipa waliomaliza kozi 2016 na 2017 na kuna wengine wana ranks za Second leutenant, Ast. Insp, SACAP, Ins, CPL, Prvt,PC wengi ni graduates umegoma kuwalipa mishahara yao na rank zao hulipi, ivi wewe unajisahau sio?? Hiyo 26 April tukiamua kutulia utahimili shari hata la mvuta bangi?

Hata wabishi wenzio ambao mwisho wa siku walitafuta nchi za kujificha walianza Kama wewe hivi hivi.

Waliokaribu nawewe wakwambie usijekulialia tukiamua.

Ni mbabe asiyekuwa na akili. Senate ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mnyang'anyeni huyu kiazi PhD yake aliyekopi 80% toka Ujerumani ili muepuke balaa la kuitwa Chuo hovyooo duniani. Sozinje ni mpumbavu asiyestahili hiyo shahada. Ni Rais wa muhula mmoja tu. Period.
 
acheni siasa za upotoshaji,haya maneno ya ajabuajabu humu mitandaoni hayatasaidia kujenga,mnachofanya ni kubomoa kwa manufaa ya hao wanaowatuma...
Watu hawafikirii tena, utafikiri waliofata dingi, hawaambiwi . kibwetele style
 
kwa mtu mwenye kiapo hawezi andika vitu vya ajabu kama hivi, siasa imefika huku kwa sasa mpaka mtu baki anaweza jifanya yupo ndani ya moja ya vyombo vya ulinzi na kupotosha uma kwamba kuna matatizo ndani ya vyombo hivyo. Tunapoelekea sipo kama tutaendelea kuendekeza watu wa ajabu kama hawa
Mchelea mwana kulia hulia yeye....wakati mtakapojivunia shwari msiyo na uhakika shari itakuwa imeingia
 
Back
Top Bottom