Recent content by mwarabu alievurugwa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maeneo yapi yanafaa kujenga kwa sasa Dar es salaam

    Kwa mtoro banaaaaa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rummy aitingisha DSM

    Sembe ndo nini jamani
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natamani tanzania ingekuwa daladala nishuke

    Daaah ama humu jf kuna watu pasua duuuhhh
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je mbinu zipi au tahadhari uzitumie kujiokoa unapogundua kuna watu wanakutafuta kukuua

    Wewe sumu zungumzia mada acha uchochezi.hapo hakuna mtume wala quraan.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ijumaa Kareem

    Ijumaa mubarak
  6. M

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dar mnasikia dalili za kiama hizo.

    kiama ni pale utakapofunikwa na dongo (kufa) wewe ndo kiama chako kimefika .hio ni siri ya mungu (kiama).
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mwarabu anamdharau mwanamke?

    Kila nchi na sheria zake .na ile ni nchi ya kiislam.subili ushoga utiwe saini hapa bongo ndo utakapojua kwa nini saudia wanawake wanazuiwa kuendesha gali.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Upepo Mkali Kinondoni

    Aiseee magomeni kuna vua kali sana.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Papa Francis awaasa 'Mafia' kutubu

    Je hao mafia si magaidi nao????? Au wanaua wanyama!!!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni haki ya mtu,kujinyonga,kutoa mimba,ushoga iwe rukusa

    Hamia marekani ndo ulikoanzia .na wao ndo wanaotaka hayo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini wazungu wanatulazimisha wanaume kwa wanaume kufanya mapenzi?

    Mnajua leo kuwa wazungu hawafai ???? Si tunapenda magari mazuri .magorofa makubwa. mameli .mandege makubwa .na uchumi mzuri basi na hili tulikubali!!!!!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nimetapeliwa Sinza

    Tafuta mshenzi mwenzake huyo tapeli tena awe polisi ndo atatoa lakini kwa kwenda kipolipolisi umeliwa .juzi kati katapeliwa demu hivo hivo na sijui kama sio huyo huyo tapeli ila aliingia choo cha kike kwa huyo demu na pesa kazitoa .
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mnazionaje huduma za Azam tv?

    Nimelipa mwezi ulopita hakijasoma mpaka umemaliza mwezi.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Shekhe Arusha Amwagiwa Tindikali

    Kabla ya kusoma mi naweza sema huu ni uzushi .jihad kwa kitabu gani???
  15. M

    JamiiForums Tanzania Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

    Bkck kid umetisha nimecheka saannna na mie yalinikuta .
Back
Top Bottom