Nyie ngome ndo mmekuja na kabarua haka!!!!!!!!! nawashangaa kwa kuengemea upande mmoja mnalaumu Serikali kwani mmeambiwa Serikali ndo ilwaambia wanafunzi wapate suprementary, muwa mnawashauri na wanafunzi kuzingatia masomo na wanapokuwa na madai kutumia njia sahihi za kuwasilisha, ili haya ya...
Tatizo huwa muda wote anatafuta namna ya kuiambia dunia kuwa serikali haifanyi kazi ndo maana huwa anakurupukia takwimu na kujifanya mchambuzi kumbe anataka wadhamini wake wamuone mpambanaji.
Tatizo makandarasi wengi wameshindwa kuendana na kasi ya awamu ya tano lakini trust me hakuna wakati ambao fursa za ujenzi zimimekuwa na tija kwa wazawa kama sasa.
HAKUNA ASIYEJUA!!!!! Tunakumbushana maana hata hawa waliokutwa na mkasa huo siyo kwamba walikuwa hawajui ila walipumbazwa na tabia ya ujamaa tuliyonayo Watanzania.
Siku za hivi karibuni ndugu yetu Dadi Mohamedi (49) na Omary Burian(27) wamekutwa na mkasa wa kuibiwa wakiwa wanasafiri kutoka Dar Mtwara na basi la Zungu. Imeelezwa kuwa waliibiwa vitu vyaombalimbali baada ya kula biscuti zinazoaminika kuchanganywa na madawa ya kulevya. Vijana watatu...
Hawa jamaaa naanza kuamini huwa wanawatumia Vyama vya Upinzani kutimiza malengo yao nchini, ona sasa leo wanasema wasimamizi walivitenga vyama vya upinzani wakati vyama vyenyewe havikuwapa ushirikiano Wagombea wa namna nzuri ya kujaza fomu.
Penye nia pana njia, tulikuwa na nia, tumethubu, tumeweza kuiwezesha serikali kupitia kodi zetu wenyewe kujenga kipande cha reli kutoka DAR- MOROGORO, Uwezo wetu umeifanaya Benki ya Biashara na Maendeleo ione tunasifa ya kukopeshwa mkopo wenye masharti nafuu kumalizia kipande cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.