Recent content by mwanzilishi

  1. M

    JamiiForums Tanzania UK immigration process

    All information about immigrating to UK, studying, etc is here: Kongoli hapa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Dr. Masau: Msimamo wa Serikali na Hatima ya Taasisi ya Moyo (THI)

    Wait a minute. Kuna watu humu wanataka kujifanya more pure than purer. Wezi wa Credit card tunawafahamu humu JF lakini hivi sasa baada ya kupewa pipi na Mafisadi wamekuwa mstari wa mbele kumkashifu Dr. Masau. Now kama Dr. Masau alisoma nje na kuwa na account huko nje whats the beef? Je wale...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    Bali tumwamini baradhuli RA.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    RA anasema yeye anaweza kutoa free lunch kwa akina Mtikila tu ambao hataki watoe uvundo wake; atafanya kila kinachowezekana kumwaga pesa, leo kamwaga pesa kwa waandishi wake ili waandike upupu na wengine wako hapa hapa wakiendeleza libeneke. Je hizi pesa anaokota? Biashara anazojisifia ni za...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    I thought you/re thinking big, but you don't leave up to your name.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    Usafi hautokani na kujisafisha kwa maneno na mbwebwe bali matendo. Matendo yake yanaonyesha jinsi alivyo fedhuli na jinsi alivyojipatia mali isivyo halali. Je katika biashara zake ambazo anazifanya amelipa kodi kiasi gani? Sio swala gumu kwa mfanyibiashara aliyebobea na mwenye uwezo mkubwa wa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    Hivi huu ndio muungurumo? Ameshikwa koo sasa zinamtokea puani anaruka ruka tu kama kunguru mweusi mwenye shada nyeupe.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mkapa above the law?: Allegations

    It was just a matter of time. Now tell your Mr. Clean 'Che-nkapa' to return what is ours and apologize to the nation.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Lowasa alitamka jambo hadharani ndani ya NEC je ni neno lipi ?

    Mbona wewe unaogopa kusema? Si useme aliongea nini? Kwani ni lazima akina fulani tu kuleta data?
  10. M

    JamiiForums Tanzania The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Wakti FMES anaandaa kuweka vitu hapo tunakuomba na wewe utuwekee dozia ya Fitna ya daraja la kigamboni kwani ahadi ni deni au?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

    Kwanza wewe kubali kwamba ulighushi Credit Card afu ndio tuangalie ya Mbowe. Hapa ni credibility yako wewe kwanza. Hakuna anayemfata Mbowe hapa ni credibility ya hoja yako. Umeshindwa kuweka ushahidi wa kufeli kwa Mbowe sembuse pumba unazofoka? Au tugoje source yako ya mswahili? Afu rejea...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

    GT Tuambie kwanza ule wizi wako wa credit card kabla hatujahamia kwa Mbowe. Tunataka kukuona wewe ni white and pure more than white.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rashid Othman: Umeshindwa Jiuzulu!

    Is that an issue?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rashid Othman: Umeshindwa Jiuzulu!

    If thats the case, why can't you go to your home ground?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rashid Othman: Umeshindwa Jiuzulu!

    I can buy you a pair 'cause the money you receive isn't enough.
Back
Top Bottom